edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
PoaDhuu ngoja waje madereva wabobezi sisi wa baiskel always miguu yole iko bizee
Kila siku utakuwa unauliza swali hili-hili mpaka lini??Niliwah leta hii mada mm nina MARAFIKI wengi Na kila anaetaka kuendesha gar langu anaeendesha kwa kadri alivoelekezwa.
Je uendeshaji wa gar Miguu miwili ni nini atahar au faida tofauti na mguu mmoja katika zile pedal mbili za automatic yaan less na brake ...
Msaad nielewe tena vzr
Nimeona watu wakitumia miguu miwili... Personally sidhani kama ni vyema,...ila pia si swala Sahihi.Niliwah leta hii mada mm nina MARAFIKI wengi Na kila anaetaka kuendesha gar langu anaeendesha kwa kadri alivoelekezwa.
Je uendeshaji wa gar Miguu miwili ni nini atahar au faida tofauti na mguu mmoja katika zile pedal mbili za automatic yaan less na brake ...
Msaad nielewe tena vzr
Nimeona watu wakitumia miguu miwili... Personally sidhani kama Ni vyeka ila pia si swala Sahihi.
Unaweza kupitiwa ukajikuta unafanya vyote viwili kwa pamoja mahala ambapo si salama.. sehemu unayopaswa kusimama unajikua una-accelerate na brakes humo humo...
[emoji16]Ngoja waje wengine . Tuendelee kupata maujuzi..na mbinu mbadala.Mkuu naona unataka kuufunga Uzi kabisa [emoji4]
[emoji16]Ngoja waje wengine . Tuendelee kupata maujuzi..na mbinu mbadala.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimeona watu wakitumia miguu miwili... Personally sidhani kama ni vyema,...ila pia si swala Sahihi.
Unaweza kupitiwa ukajikuta unafanya vyote viwili kwa pamoja mahala ambapo si salama.. sehemu unayopaswa kusimama unajikua una-accelerate na brakes humo humo...
Kwenye magear box sijui.. ila kwa magari ya kisasa sensors kila sehemu inaweza kuwa na athari. Wataalamu wa vyombo hivi bila shaka watatuletea maelezo ta kutosha.Tuje wengine karibuni.maana naona hili limeathir wengi na ma gearbox je ? Yatakua salama?
Kwenye magear box sijui.. ila kwa magari ya kisasa sensors kila sehemu inaweza kuwa na athari. Wataalamu wa vyombo hivi bila shaka watatuletea maelezo ta kutosha.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kila siku utakuwa unauliza swali hili-hili mpaka lini??
Hebu tafuta laki na nusu uende driving school.
Kwenye magear box sijui.. ila kwa magari ya kisasa sensors kila sehemu inaweza kuwa na athari. Wataalamu wa vyombo hivi bila shaka watatuletea maelezo ta kutosha.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Alfu nataka kuuliza, utanipa jibu kama unalo jibu, Hivi kuna madhara gani kutoa hand brake wakati gari ikiwa motion..! Ambayo kulingana na maelezo ya mwalimu wangu wa kuendesha vyombo vya moto alinambia napaswa kuiondoa handbrake kabla ya kuanza mwendo. Sasa kuna muda najikuta nimesahau kuitoa ile nakumbuka nakuta tayari nipo kwenye speed labda ya 20km/h... Je nikiitoa handbrake huku naendelea na Safari nini madhara ??
Ukisahau kudisengange hand brake ina maana husikii gari linavyokua zito?Alfu nataka kuuliza, utanipa jibu kama unalo jibu, Hivi kuna madhara gani kutoa hand brake wakati gari ikiwa motion..! Ambayo kulingana na maelezo ya mwalimu wangu wa kuendesha vyombo vya moto alinambia napaswa kuiondoa handbrake kabla ya kuanza mwendo.
Sasa kuna muda najikuta nimesahau kuitoa ile nakumbuka nakuta tayari nipo kwenye speed labda ya 20km/h... Je nikiitoa handbrake huku naendelea na Safari nini madhara?