Uendeshaji huu gari ni sahihi?

Uendeshaji huu gari ni sahihi?

edger jairos

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
335
Reaction score
71
Niliwah leta hii mada mm nina marafiki wengi Na kila anaetaka kuendesha gar langu anaeendesha kwa kadri alivoelekezwa.
Je uendeshaji wa gar Miguu miwili ni nini atahar au faida tofauti na mguu mmoja katika zile pedal mbili za automatic yaan less na brake.

Msaad nielewe tena vizuri.
 
Niliwah leta hii mada mm nina MARAFIKI wengi Na kila anaetaka kuendesha gar langu anaeendesha kwa kadri alivoelekezwa.
Je uendeshaji wa gar Miguu miwili ni nini atahar au faida tofauti na mguu mmoja katika zile pedal mbili za automatic yaan less na brake ...
Msaad nielewe tena vzr
Kila siku utakuwa unauliza swali hili-hili mpaka lini??

Hebu tafuta laki na nusu uende driving school.
 
Niliwah leta hii mada mm nina MARAFIKI wengi Na kila anaetaka kuendesha gar langu anaeendesha kwa kadri alivoelekezwa.
Je uendeshaji wa gar Miguu miwili ni nini atahar au faida tofauti na mguu mmoja katika zile pedal mbili za automatic yaan less na brake ...
Msaad nielewe tena vzr
Nimeona watu wakitumia miguu miwili... Personally sidhani kama ni vyema,...ila pia si swala Sahihi.

Unaweza kupitiwa ukajikuta unafanya vyote viwili kwa pamoja mahala ambapo si salama.. sehemu unayopaswa kusimama unajikua una-accelerate na brakes humo humo.

Pili utumiaji mbaya wa mafuta.. kuegesha mguu tu, kwenye well calibrated brakes inapelekea brakes kufanya kazi... Mean while unaendelea ku-accelerate ..ni kama unaiongezea mzigo gari.. hence ulaji mbaya wa mafuta.

Kutumia mguu mmoja kunakupa nafasi ya kufanya maamuzi mamoja kwa wakati.. gari inakuwa more efficient na akili yako inakuwa more focused..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona watu wakitumia miguu miwili... Personally sidhani kama Ni vyeka ila pia si swala Sahihi.

Unaweza kupitiwa ukajikuta unafanya vyote viwili kwa pamoja mahala ambapo si salama.. sehemu unayopaswa kusimama unajikua una-accelerate na brakes humo humo...

Mkuu naona unataka kuufunga Uzi kabisa [emoji4]
 
Huyu yupo vzr San ingawa sijaingia san ndani na kueleza Spare au vifaa gan vinakua ktk athat
Nimeona watu wakitumia miguu miwili... Personally sidhani kama ni vyema,...ila pia si swala Sahihi.

Unaweza kupitiwa ukajikuta unafanya vyote viwili kwa pamoja mahala ambapo si salama.. sehemu unayopaswa kusimama unajikua una-accelerate na brakes humo humo...
 
Kwenye magear box sijui.. ila kwa magari ya kisasa sensors kila sehemu inaweza kuwa na athari. Wataalamu wa vyombo hivi bila shaka watatuletea maelezo ta kutosha.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Alfu nataka kuuliza, utanipa jibu kama unalo jibu, Hivi kuna madhara gani kutoa hand brake wakati gari ikiwa motion..! Ambayo kulingana na maelezo ya mwalimu wangu wa kuendesha vyombo vya moto alinambia napaswa kuiondoa handbrake kabla ya kuanza mwendo.

Sasa kuna muda najikuta nimesahau kuitoa ile nakumbuka nakuta tayari nipo kwenye speed labda ya 20km/h... Je nikiitoa handbrake huku naendelea na Safari nini madhara?
 
Ngoja waje
Alfu nataka kuuliza, utanipa jibu kama unalo jibu, Hivi kuna madhara gani kutoa hand brake wakati gari ikiwa motion..! Ambayo kulingana na maelezo ya mwalimu wangu wa kuendesha vyombo vya moto alinambia napaswa kuiondoa handbrake kabla ya kuanza mwendo. Sasa kuna muda najikuta nimesahau kuitoa ile nakumbuka nakuta tayari nipo kwenye speed labda ya 20km/h... Je nikiitoa handbrake huku naendelea na Safari nini madhara ??
 
Mimi huu mwaka wa 12 naendesha auto kwa miguu miwili na sijawahi kupata ajali,maamuzi ya miguu chini yanatokana na ubongo wako unavyofanya kazi sio kingine
 
Alfu nataka kuuliza, utanipa jibu kama unalo jibu, Hivi kuna madhara gani kutoa hand brake wakati gari ikiwa motion..! Ambayo kulingana na maelezo ya mwalimu wangu wa kuendesha vyombo vya moto alinambia napaswa kuiondoa handbrake kabla ya kuanza mwendo.

Sasa kuna muda najikuta nimesahau kuitoa ile nakumbuka nakuta tayari nipo kwenye speed labda ya 20km/h... Je nikiitoa handbrake huku naendelea na Safari nini madhara?
Ukisahau kudisengange hand brake ina maana husikii gari linavyokua zito?
 
Back
Top Bottom