Bexb
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 715
- 1,619
Habari ya mchana wakuu. Nimeona leo pia tuzungumze ama kujadili masuala kadhaa yanayohusiana na uendeshaji wa kampuni ili kuhakikisha kuwa kila kitu kipo sawa na hamuendi kinyume na sheria ili kuepusha matatizo yoyote ambayo yanaweza kuibuka.
Sasa, kulingana na uhalisia wa kiutendaji na uendeshaji wa kampuni kuna nyakati ambazo kampuni itahitaji kuongeza shareholder(s) katika kampuni lakini hushindwa kufanya uamuzi sahihi wa nini kifanyike hasa juu ya suala hili. Kuna mazingira ama situations zifuatazo zitaamua ni njia ama namna gani itatumika ili kuweza kuingiza mwahisa mpya katika kampuni;
1. ENDAPO KUNA HISA ZILIBAKI
Kuna nyakazi wakati wa usajili wa kampuni wakati mafanya mgawanyo wa shares kulikua na baadhi ya shares ambazo zilibakizwa(reserved shares) kwa maana ya kwamba hisa hizi hazikugawiwa zote. Kwa hiyo anapoingia mwanahisa mpya na ambaye mmeamua kumpa shares basi kama idadi ya shares zilizobakizwa katika kampuni ni sawa ama pungufu ya hisa anazotakiwa kupewa mtu mpya basi mtaendelea kawaida kwa kugawa hisa hizo kwa mtu mpya kwa kutumia form maalum za brela.
2. ENDAPO HISA HAZIKUBAKI.
Hapa kitu kinatakiwa kufanyika ni kwanza kuhakikisha kuwa mnafanya kutengeneza shares mpya (Allotment of new shares) kwanza kwa idadi ambayo mnaona inafaa, na hii pia inaathiri kiasi cha mtaji mlichokua mmekitaja wakati wa usajili wa kampuni hivyo i sawa na kumaanisha kuwa mtapandisha kiasi cha mtaji sawa na idadi ya hisa mnazotaka kutengeneza ili kummpatia huyu mwanahisa mpya. Basi mkiifanya hivyo mkaongeza hisa mtaendelea na mchakato kama kipengele namba 1 hapo juu kinavyoeleza.
MUHIMU: Hayo yote hapo juu yaapaswa kufanyika baada ya kikao cha wanahisa wa kampuni na kukafanyika maazimio ya pamoja ya kukubali kuongeza mwanahisa na kikao hicho kiamue kuwa ni hisa idadigani ambazo atapewa huyu mwanahisa mpya. Hii pia huambatanishwa brela sambamba na forms nyinginezo.
Kama kuna mwenye la kuongezea, karibu.
Lakini pia, endapo unahitaji kusajili kampuni, jina la biashara, trademarks, hivyo kuhitaji usaidizi katika documentation, TRA E-filing, drafting and online filing kwa gharama nafuu na haraka, usisite kuwasiliana nasi.
0755963775 calls/whatsapp