Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba kunifahamisha kuhusu, uendeshaji wa makosa ya jinai mahakamai upande wa anayeshitaki? Mtu yeyote anaweza kushtaki na kuendesha mashtaka au ni jamhuri tu ndiyo inayosimamia mashtaka kwa upande wa mshitaki? Nisaidieni hapo.
Jamhuri,hakimu na hata mtu binafsi anaweza peleka lalamiko kwa hakimu na ikawa reduced into writing na hakimu kwa mahakama za mwanzo,ila shtaka la jinai jamhuri ndo italiendesha sababu ina majukumu ya kulinda raia na mali zake