Uenyekiti CHADEMA ni sawa na tunda la mti wa katikati pale Eden, ukiligusa tu unatupwa nje ya Bustani kama Zitto, Sumaye na Mwambe

Utadhan unataga. Na kama unataga lazima utage mayai yako humu jamvini? Kafie mbali huko unakera. Kila siku uzi kuhusu chadema mbowe na wachaga hovyo kabisa. Unakera.

Pambaff
Wewe utakuwa siyo mmachame.....utakuwa mrombo!
 
Demokrasia ni makubaliano ya watu. Na siyo nani amekaa madarakani muda gani.

Hata leo hii tukikubaliana kwamba tupige kura magufuli akae madarakani mpaka anakufa na kura zikamruhusu, hiyo itakuwa ni demokrasia sababu ni makubaliano yetu.

Unlike akijipangia mwenyewe kwamba hatoki madarakani huo utakuwa ni udikteta.

Ukiwa kile chama ni shida. Mambo madogo yanawapa shida kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachama wapi? Wale waliopewa T-shirt kabla ya uchaguzi?
 
JokaKuu,
Zitto alishajijenga sema mzee Mtei alimfanyia mtima nyongo!

..aliyekuwa na uwezo wa kumpokea Mbowe kijiti wakati ule alikuwa Dr.Slaa.

..Zitto alikuwa hajajijenga. Kwa kweli alikuwa hana subira. Pia sidhani kama alikuwa na washauri / marafiki wazuri. Naona wote sasa hivi wamemkimbia.
 
Wanachama wapi? Wale waliopewa T-shirt kabla ya uchaguzi?

..kitendo cha Cecil Mwambe kuhama kimethibitisha kwamba hakustahili kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CDM.

..Hivi CDM wangekuwa na hali gani sasa hivi kama Mwenyekiti angekuwa na Mwambe halafu abwage manyanga kama alivyofanya.
 
Kwahiyo Ule Utaratibu wetu wa Miaka 10 kwa Mwenyekiti aliepo Hauwezi Kumzuia Mwingine Asigombee?
kama mtu anataka Kushindana na Mwenyekiti wetu,kwanini Asimuachie Mwenyekiti wetu aendelee tuu Peke yake,kwani Katufanyia Mazuri Mnoo,Au wewe Unaonaje?
Ndio itamlazimu agombee urais kwanza.

Unajua huku CCM Rais wa JMT ndiye Mwenyekiti wa chama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Ule Utaratibu wetu wa Miaka 10 kwa Mwenyekiti aliepo Hauwezi Kumzuia Mwingine Asigombee?
kama mtu anataka Kushindana na Mwenyekiti wetu,kwanini Asimuachie Mwenyekiti wetu aendelee tuu Peke yake,kwani Katufanyia Mazuri Mnoo,Au wewe Unaonaje?
Nafasi ipo Kama akiamua kugombea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..kitendo cha Cecil Mwambe kuhama kimethibitisha kwamba hakustahili kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CDM.

..Hivi CDM wangekuwa na hali gani sasa hivi kama Mwenyekiti angekuwa na Mwambe halafu abwage manyanga kama alivyofanya.
Asingefanyiwa figisu uchaguzini angekuwepo hadi leo!
 
Membe anataka urais bwashee.

Baada ya hapo ndio uenyekiti wa chama unakuja wenyewe automatically!
 
Wamechukua fomu,wakashindwa!Ulitaka waachiwe hata kama wameshindwa?Haya basi wajaribu kugombea huo uenyekiti huko CCM!
 
Kama kina Mwambe, Sumaye na taka wengine, waliojisalimisha ccm ndiyo waliutaka uenyekiti, bora Mbowe mara 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Mwambe amefukuzwa? Lakini je huko CCM kuna mtu mwenye ubavu wa hata kujaribu kuchukua fomu? Kwa hili kama CHADEMA ni moto basi huko CCM ni jehanum!
 
Membe anataka urais bwashee.

Baada ya hapo ndio uenyekiti wa chama unakuja wenyewe automatically!
Kwani Si Tuna Utaratibu Lazima MTU amalize Miaka 10?
Na hii so Ndio Demokrasia yetu tuliojiwekea? Kama Kuna MTU ndani ya Chama anataka Uraisi Kwanini Asiende Upinzani?
Wewe Unaonaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mungu mwenyewe kwa usalama wa tunda la mti wa katikati aliwafukuzia mbali waliokosa adabu na tunda la mti wa katikati.
 
Utashindanaje na Rais?....... Uwe unaelewa bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…