eliakim xavery
Member
- Apr 24, 2015
- 98
- 72
Nipo mwanza najihusisha na ujasiriamali wa kutengeneza viatu vya kufunika na vya wazi, sasa biashara ni ngumu kutokana na mtaji mdogo ni mwaka sasa nimeanza(nina flem kabisa) lakin biashara haikui kwani mahitaji yote yanategemea hii kazi, hivo kama kuna mtu aliye tayari kunifadhili anitafute kwa Email yangu hii eliakimxavery@gmail.com anichek ili tufanye kazi.