Ufadhili katika biashara

Ufadhili katika biashara

Joined
Apr 24, 2015
Posts
98
Reaction score
72
Nipo mwanza najihusisha na ujasiriamali wa kutengeneza viatu vya kufunika na vya wazi, sasa biashara ni ngumu kutokana na mtaji mdogo ni mwaka sasa nimeanza(nina flem kabisa) lakin biashara haikui kwani mahitaji yote yanategemea hii kazi, hivo kama kuna mtu aliye tayari kunifadhili anitafute kwa Email yangu hii eliakimxavery@gmail.com anichek ili tufanye kazi.
 
Tuwekee Aina ya viatu hapa tunaweza kukuungisha
 
sawa hizi hapa nk nk.
20180727_194055.jpg
20190416_213514.jpg
20190306_134334.jpg
20190214_162358.jpg
20181127_225032.jpg
 
Nipo mwanza najihusisha na ujasiriamali wa kutengeneza viatu vya kufunika na vya wazi, sasa biashara ni ngumu kutokana na mtaji mdogo ni mwaka sasa nimeanza(nina flem kabisa) lakin biashara haikui kwani mahitaji yote yanategemea hii kazi, hivo kama kuna mtu aliye tayari kunifadhili anitafute kwa Email yangu hii eliakimxavery@gmail.com anichek ili tufanye kazi.
Vinauzika?
 
Kazi yako nzuri, ila unge weka wazi mtaji ambao unaamini ukiupata utafanya biashara yako ijiendeshe kwa faida na utaweza kulipa deni au mbia atashawishika.
sawa kaka, nikipata Tsh Milion 3 zinanitosha na Kuzirudisha kwa wakati inawezekana.
 
Back
Top Bottom