eliakim xavery
Member
- Apr 24, 2015
- 98
- 72
Buswelu manispaa ya IlemelaUko sehem gani hapa mwanza
PoaBuswelu manispaa ya Ilemela
Thanksnice job
Vinauzika?Nipo mwanza najihusisha na ujasiriamali wa kutengeneza viatu vya kufunika na vya wazi, sasa biashara ni ngumu kutokana na mtaji mdogo ni mwaka sasa nimeanza(nina flem kabisa) lakin biashara haikui kwani mahitaji yote yanategemea hii kazi, hivo kama kuna mtu aliye tayari kunifadhili anitafute kwa Email yangu hii eliakimxavery@gmail.com anichek ili tufanye kazi.
Soko liko sawa.Vipi soko la viatu vyako...
ndio watu wanavielewa sana na wanachukua.Vinauzika?
Soko liko sawa.
ndio watu wanavielewa sana na wanachukua.
sawa kaka, nikipata Tsh Milion 3 zinanitosha na Kuzirudisha kwa wakati inawezekana.Kazi yako nzuri, ila unge weka wazi mtaji ambao unaamini ukiupata utafanya biashara yako ijiendeshe kwa faida na utaweza kulipa deni au mbia atashawishika.
Milion 3.Ukipewa mtaji ,utaitaji kama kiasi gani