Ufadhili mpya wa Simba, Je nani anahusika kwa mlango wa nyuma?

Ufadhili mpya wa Simba, Je nani anahusika kwa mlango wa nyuma?

miggykl2005

New Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
4
Reaction score
3
Simba imepata ufadhili mkubwa mno haijawahi tokea Tanzania.
Ikumbukwe Rais Samia kipindi cha nyuma kidogo aliahidi kuzitafutia Simba na Yanga ufadhili.

Je, hii inaweza kuwa ndo utekelezaji wenyewe wa ahadi. Huyo mzabuni aliyeshinda ni geresha tu kuna watu wako nyuma,tutajua zaidi.

Ngoja tusubiri ufadhili mpya wa Yanga
 
Nadhani Simba wameingia mkenge katika "mikogo na majigamabo ya Kihaya"!
Hakuna biashara ya jezi inaweza kuleta pesa zaidi ya Bil 10 kwa mwaka! Vunjabei na Sandaland wasingetema bungo!

Time will tell!
Ni zaid ya biashara ya jezi, kuna other business involved
 
Huyo jayruuty ni tapeli mkubwa!
Viongozi watatueleza asipotekeleza, wameingia mkenge na ndo mwisho wa zama za uongozi wa mangungu, Ahmed ally na uongozi wote
 
Ni zaid ya biashara ya jezi, kuna other business involved
Jersey zinalipa mzee.
Unapata zaidi ya Bilioni 100.
Bado kampuni yako inavyokuwa kwa kasi kubwa sana.
Na unaaminika na Taasisi na makampini mengine kupiga ma deal.
 
Back
Top Bottom