miggykl2005
New Member
- Mar 18, 2025
- 4
- 3
Ni zaid ya biashara ya jezi, kuna other business involvedNadhani Simba wameingia mkenge katika "mikogo na majigamabo ya Kihaya"!
Hakuna biashara ya jezi inaweza kuleta pesa zaidi ya Bil 10 kwa mwaka! Vunjabei na Sandaland wasingetema bungo!
Time will tell!
Ulishawahi kufanya na ukapata chini ya bilioni 10 kwa mwaka? Ulipata ngapi?Nadhani Simba wameingia mkenge katika "mikogo na majigamabo ya Kihaya"!
Hakuna biashara ya jezi inaweza kuleta pesa zaidi ya Bil 10 kwa mwaka! Vunjabei na Sandaland wasingetema bungo!
Time will tell!
Wasingerudia kushiriki zabuni ila wameshindwa.Nadhani Simba wameingia mkenge katika "mikogo na majigamabo ya Kihaya"!
Hakuna biashara ya jezi inaweza kuleta pesa zaidi ya Bil 10 kwa mwaka! Vunjabei na Sandaland wasingetema bungo!
Time will tell!
Jersey zinalipa mzee.Ni zaid ya biashara ya jezi, kuna other business involved