Ufadhili Wa Mafunzo ya Ufundi Stadi

Ufadhili Wa Mafunzo ya Ufundi Stadi

Nimeona Tehama inafundishwa Rukwa, Kigoma na Mbeya. Naombeni mfadhiili niishi kwake kipindi nasomea hii kozi.
 
Unaruhusiwa kuomba sehemu mbili? Mfano dar niombe utalii na veta?
 
...Tanga ni miongoni Mikoa yenye Vyuo vya Veta vizuri sana maeneo ya Majani Mapana Kule.
Mbona sioni Tanga humu, au Macho yangu??
 
...Tanga ni miongoni Mikoa yenye Vyuo vya Veta vizuri sana maeneo ya Majani Mapana Kule.
Mbona sioni Tanga humu, au Macho yangu??
Tanga ipo

Screenshot_20210421-074305.png
 
Vigezo vipoje? Nina mdogo wangu ata kwenda kidato cha kwanza..tumechalaza sana bakora
 
Back
Top Bottom