Ufadhili Wa Mafunzo ya Ufundi Stadi

Ufadhili Wa Mafunzo ya Ufundi Stadi

Ila kwa vyuo vya veta vya serikali bado hawajaanza kupokea ila binafsi wanapokea
umenifurahisha sana eti "vyuo vya veta vya serikali" ndugu hamna maneno ya kusema vyuo vya veta vya serikali na vyuo vya veta vya binafsi
 
Ila wanasemaje
kifupi hamna vyuo vya veta vya binafsi, ukisema neno VETA tayari ni Serikali hiyo, au niseme ulivyosema wewe ni sawa sawa na kusema "TANESCO ya Serikali na TANESCO ya Binafsi" kitu ambacho hakipo!!!
 
Vyuo vyote vinavyotoa mafunzo ya ufundi viko chini ya VETA bro. Wanachomilikiwao ni majengo tu ila wanafunzi wote ni wa VETA na vipo kuosaidia veta kutoa mafunzo sababu haiwezi kudahili wanafunzi wote. Ndo maana nikasema vyuo vya veta vya binafsi. Veta hitoa mitihani kila mwaka kwa vyuo hivi na wanaofaulu hupewa vyeti na veta.
 
haya bwana naona hatujaelewana, ila sawa
 
jamaa wametumia vigezo gani kuchuja, mbona madog kadhaa wako vzr tu lknhawajachaguliwa daah, hizi issue za bure hizi kha
 
Back
Top Bottom