Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Wanakuja mkuu.!Karibu mkuu. Ila naona watu kama wame ignore jambo hili ila ni fursa nzuri sana.
Karibu mkuu. Ila naona watu kama wame ignore jambo hili ila ni fursa nzuri
Karibu mkuu. Ila naona watu kama wame ignore jambo hili ila ni fursa nzuri sana.
Uko wapiNimeona Tehama inafundishwa Rukwa, Kigoma na Mbeya. Naombeni mfadhiili niishi kwake kipindi nasomea hii kozi.
TangaUko wapi
Tanga ipo...Tanga ni miongoni Mikoa yenye Vyuo vya Veta vizuri sana maeneo ya Majani Mapana Kule.
Mbona sioni Tanga humu, au Macho yangu??
Umri: 15 - 35 yrsVigezo vipoje? Nina mdogo wangu ata kwenda kidato cha kwanza..tumechalaza sana bakora
Asante,sijui tukimleta uku atakataaUmri: 15 - 35 yrs
Elimu: darasa la 7 na kuendelea
Kama shule hataki ni heri pia huku.Asante,sijui tukimleta uku atakataa
fursa nzuri sana hii. Kongole kwa Serikali juu ya hiliOfisi ya Waziri Mkuu imetangaza kutoa ufadhili wa nafasi zaidi ya 12,000 katika fani mbalimbali za ufundi stadi.
Fursa hii tuichangamkie vijana. Fungua attachment kwa maelezo zaidi.
Pia unaweza kutembelea tovuti hii.
www.kazi.go.tz
Njoo pmTanga
Mimi mwenyewe nataka kujua hiliMafunzo yatachukua muda gani wakuu??
Unaweza kuta ni miaka mitatu [emoji3][emoji3]Mimi mwenyewe nataka kujua hili
Duuh! Kwani Veta kuna kozi za miaka mitatu mimi najua hazizidi miaka miwiliUnaweza kuta ni miaka mitatu [emoji3][emoji3]
Kozi za muda mfupi (miezi mitatu) na mrefu (mwaka so endapo ukipiga level 1,2 na 3 inakuwa ni miaka mitatu mkuu)Duuh! Kwani Veta kuna kozi za miaka mitatu mimi najua hazizidi miaka miwili