Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
Hata mm sijapata update yoyoteJaman mlioapply veta kipawa&chang'ombe vp kuna mtu kaitwa huko??? Maana masomo yanaanza jtatu tarehe 17 lakn mpaka saiz naona No sms No call. Ndo kwamba nmekosa au??
Bado mzeeBado kimya tu?
Duuhh, miyeyusho hiiBado mzee
hili suala kaka halieleweki yaan, mambo vururuvururu yaanNimeulizia veta ya hapa jirani kama kuna intake mpya iliyoingia hivi karibuni...
Sirikali wahuni tu
Tarehe ya kuripoti ni lini?Shukrani mkuu
Sijajua mkuu maana mimi sijaomba wala sina mtu alieomba ninaemjua. Labda ukifungua hizo link hapo juu utafahamu kuhusu hilo.Tarehe ya kuripoti ni lini?
Sijaona chochote huko nikaamua nije kuuliza hukuSijajua mkuu maana mimi sijaomba wala sina mtu alieomba ninaemjua. Labda ukifungua hizo link hapo juu utafahamu kuhusu hilo.
Angalia post namba 50 na 51 nadhani huyo mkuu anaweza kukusaidia.Sijaona chochote huko nikaamua nije kuuliza huku
Nisaidie jibu hapa mkuuIla kwa vyuo vya veta vya serikali bado hawajaanza kupokea ila binafsi wanapokea
Tarehe ya kuripoti ni lini?
Ahsante sana mkuu kwa muongozo
Asante umetusaidia sana bro. Mm nlikua cjui kama yametokaPMO-LYED | Announcements
Prime Minister's Office Labour, Youth, Employment and Persons with Disability | Prime Minister's Office Labour, Youth, Employment and Persons with Disabilitywww.kazi.go.tz
Attachment haifunguki hiiMzigo huu hapaView attachment 1807355