UFADHILI WA MASOMO KUTOKA BODMAS

UFADHILI WA MASOMO KUTOKA BODMAS

sulemoney

Member
Joined
May 3, 2024
Posts
85
Reaction score
74
Habari wakuu
Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikimtaja mdogo wangu aliemaliza kidato cha nne na kufaulu vizuri, ikisema hivi.
"HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE!
FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA 0623.... / 0714....."

Je Hawa ni wa kweli?
 
Kama hajawahi kuwaomba udhamini jua nyie ni target ya utapeli wao a.k.a fursa
 
Back
Top Bottom