NACTE ilitoa tangazo kuwa wanaoomba uhamisho diploma health program wanaombwa itakapofika 18 sep wasitishe zoez hilo ili wapishe zoezi la kuomba ufadhili litakaloendelea had tar 25 sep na ndipo wataendelea na uhamisho. sasa imekwisha fika tar hyo lakin najarib kuangalia sion kitu. ndugu wadau mwenye uelewa anisaidie kwa ufafanuzi. ASANTE