Ufadhili wa wanafunzi 1401 diploma health programs 2014/15,tangazo by NACTE

Ufadhili wa wanafunzi 1401 diploma health programs 2014/15,tangazo by NACTE

MIKETHON1991

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
78
Reaction score
56
NACTE ilitoa tangazo kuwa wanaoomba uhamisho diploma health program wanaombwa itakapofika 18 sep wasitishe zoez hilo ili wapishe zoezi la kuomba ufadhili litakaloendelea had tar 25 sep na ndipo wataendelea na uhamisho. sasa imekwisha fika tar hyo lakin najarib kuangalia sion kitu. ndugu wadau mwenye uelewa anisaidie kwa ufafanuzi. ASANTE
 
Back
Top Bottom