Ufadhili wamasomo kutoka BODMAS ni wa kweli?

Ufadhili wamasomo kutoka BODMAS ni wa kweli?

sulemoney

Member
Joined
May 3, 2024
Posts
85
Reaction score
74
Habari wakuu
Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikisema hivi.
"HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE!
FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA 0623.... / 0714....."

Je Hawa ni wa kweli?
 
BODMAS (Bracket Open Division Multiplication Addition Subtractio)
Ogopa matapeli
 
BODMAS (Bracket Open Division Multiplication Addition Subtractio)
Ogopa matapeli
 
Utapewaje ufadhili bila kutuma maombi kwanza?

Endeleza mawasiliano kwa tahadhari, maana baadaye utaombwa pesa ya fomu, maombi, usajili, nk.

Mwisho utarudi na kilio
 
Habari wakuu
Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikisema hivi.
"HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE!
FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA 0623.... / 0714....."

Je Hawa ni wa kweli?
FIKA 3-8/3/2025. ----Hapa ndipo panaonyesha kwa kiwango kikubwa ni utapeli. ''Fika'' wapi? Wanajua kabisa wakiweka neno ''fika'' watadanganya ubongo wako kuona kuwa wana ofisi. Na wanajua kabisa utapiga simu ili wapate ku-set mitego yao...
 
Nimeshangaa kampuni haijasema inahusika na nini, ipo wapi na Kwa imetoa udhamini Kwa vigezo gani
 
Back
Top Bottom