Habari wakuu
Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikisema hivi.
"HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE!
FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA 0623.... / 0714....."

FIKA 3-8/3/2025. ----Hapa ndipo panaonyesha kwa kiwango kikubwa ni utapeli. ''Fika'' wapi? Wanajua kabisa wakiweka neno ''fika'' watadanganya ubongo wako kuona kuwa wana ofisi. Na wanajua kabisa utapiga simu ili wapate ku-set mitego yao...