Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna shida yeyote??? Chochote kinawezekana. Mgawanyo wa kirasilimali unaweza kuamua mwishoni. Hakuna shida yeyote! Mie nimeweka mfano tu!Huu mgawanyo wa majimbo umeutoa wapi? Kagera itoe huko ulikoipeleka! Mwanza pia itoe huko, Mara pia itoe huko ulikoipeleka! Tuanzie hapo kwanza!
Labda kama sielewi lakini huko uchina wana serikali za majimbo na serikali kuu.Tazama vipindi vya tv za China utaona wanavyosisitiza katika umoja. Tazama vikao vyao kila mwaka vinavyoongozwa na rais wao utaelewa maana ya umoja.
Hujaelewa hoja yangu!! Hapa ninajibu hoja za wana CCM kuwa sera ya majimbo haitafanikiwa kwa sababu Kuna majimbo yatashindwa kujiendesha???
Alafu kuna issue yeyote juu la suala la mpaka??? Kwani tukiamua sasa tukitengeneza sheria na kutambua utawala wa majimbo na kusema mikoa hii itakuwa jimbo hili, mikoa hii jimbo hili kuna tatizo lolote????
Mkuu, Mbona kichwa cha habari kinajielezea vizuri tu!! Sema hukuelewa ndugu yangu!Nilifikiri unapinga majimbo. Siku nyingine andika summary ili ueleweke vizuri. Usipoeleweka, inapelekea kumpinga mtu ambaye actually unakubaliana naye. Mipaka ya majimbo itakatwa wakati ukifika. Siyo lazima ifuate mikoa na wilaya zilizopo sasa.
Halafu ni muhimu kuweka declarative heading ya post. Badala ya swali, andika hivi: Ufafanuzi: Katika mfumo wa majimbo, hakuna jimbo litashindwa kujiendesha.
Wewe unajua hifadhi ya udzungwa ipo mkoa gani ndugu???Kwamba udzungwa national park iko morogoro? Hifadhi ya rungwe ndo ipi hiyo?
Huwezi kuweka mfano wakati majimbo tayari yalishagawanywa!Kwani kuna shida yeyote??? Chochote kinawezekana. Mgawanyo wa kirasilimali unaweza kuamua mwishoni. Hakuna shida yeyote! Mie nimeweka mfano tu!
Inategemea ndugu, hata Marekani timu ya Basketball ya Seattle Sanders ilibadirisha jina na kuitwa Oklahoma City Thunder, hakuna Tatizo loloteSamahan,nataka kujua kidogo mfano timu za mpra kutoka katika ayo majimbo zitaendelea kuitwa kama sasa iv mfano mbeya city au zitabadil majina ,na je ktk ayo majimbo iyo mikoa itabak na majina yake ivyo ivyo
Kama yaligawanywa ndo msaafu kama haiwezi kubadirishwa??Huwezi kuweka mfano wakati majimbo tayari yalishagawanywa!
Wacha ubishi wa Kitindiga wewe!Kama yaligawanywa ndo msaafu kama haiwezi kubadirishwa??
Wewe nijibu basi, kama yalishagawanywa ndo hayawezi kubadirishwa?? Alafu Kim Ila huu ni mchakato ambao hata Chadema watawahusisha wananchi kwanza na hawatojiamulia tu!Wacha ubishi wa Kitindiga wewe!
Hayawezi, huwezi kuichukua Mara uipeleke ikaungane na Kilimanjaro wakati Simiyu iko pua na mdomo! Huwezi kuichukua Kagera ikaungane na Rukwa wakati Geita iko pua na mdomo!Wewe nijibu basi, kama yalishagawanywa ndo hayawezi kubadirishwa?? Alafu Kim Ila huu ni mchakato ambao hata Chadema watawahusisha wananchi kwanza na hawatojiamulia tu!
Huwajui wanasiasa haswa wanapopata uhakika wa vyeo namna wanavyogeuka misingi inayowapa nafasi hizo.Kwani kuna shida gani hapa kwetu??? Majimbo ya kinigeria yanakaliwa ana kabila moja tu na hii ni misingi ya divide and rule ya waingereza. Majimbo yetu yatakuwa na makabila tofauti tena jimbo moja hadi makabila 4 au 5 sasa shida iko wapi????
Alafu kumbuka mfumo wa utawala wa majimbo unaopendekezwa na Chadema hauendi kwenye misingi ya Mila desturi au makabila Kama kurudisha uchief. WAO wanamaanisha mfumo wa kiutawala na wa kiuchumi. Sasa hoja yako hapa haina mashiko
Asili na misingi ya serikali hizo hapa kwetu ni ngumu kufanya kazi.Labda kama sielewi lakini huko uchina wana serikali za majimbo na serikali kuu.
Mzee Mbona una hasira sana??? Kwani shida iko wapi??? Mara haijapakana na Arusha??? Kigoma haijapakana na Kagera???Hayawezi, huwezi kuichukua Mara uipeleke ikaungane na Kilimanjaro wakati Simiyu iko pua na mdomo! Huwezi kuichukua Kagera ikaungane na Rukwa wakati Geita iko pua na mdomo!
Alikiri wapi na lini? Tupe ushahidiAsili na misingi ya serikali hizo hapa kwetu ni ngumu kufanya kazi.
Nyerere alikopi ujamaa kutoka huko huko China, lakini ni yeye aliyekuja kukiri kwamba alichemka katika huko kuiga kwake.
Acha kupiga ramli. Wewe waongelee watu wako wa Ccm mliotawala hii nchi kwa miaka karibu 60 ila hadi sasa ujinga, maradhi na umasikini vimekuwa changamoto. Sie tuache tuwaongelee chadema ambao hawajawai kuiongoza hii nchiHuwajui wanasiasa haswa wanapopata uhakika wa vyeo namna wanavyogeuka misingi inayowapa nafasi hizo.
Ni ngumu sana kuwa na majimbo pasipo kujitambulisha kikanda na kimikoa.
Sera hii imejengwa katika wazo la rasilimali lakini upo udhaifu wa kikanda kwa maana ya uongozi wakati wa usimamiaji na utoaji wa dira za kanda.
Mtanzania leo anatoka Rukwa na kwenda kuishi Mwanza mwingine anatoka Kagera na kwenda kuishi Mtwara hapo ni lazima uguse asili yake ukianza kuigawa nchi kimajimbo.
Kwahiyo zaidi ya 95% ya nchi duniani ziko uchumi wa katiNaAWAKUMBUSHA TU WAKUU.
Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (NCHI MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)
MIAKA 60 YA UHURU.
CCM imetufikisha hapa