UFAFANUZI JUU YA KINONDONI

UFAFANUZI JUU YA KINONDONI

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
2,007
Reaction score
7,126
Habarn wandugu

Naona kuanzia wiki iliyopita watu wamekua wakiwasakama Sana wanaume wa dar kisa Hawa vijana wetu kutoka KINONDONI

Kwanza kabisa naomba niwatoe hofu wakaz wa dar,. Kipolisi hakuna wilaya ya kinondon Bali Kuna mkoa wa KINONDONI😁😁😁😁.
Ukiaply matrix ya kawaida, chukua zile wilaya za dar zen angalia leading entry zote ukitokea kwenye row reduction to echlon form (hapa unaweza kuaply simultaneous). Mwisho wa siku unakuta hii KINONDONI haipo dar kabisa ipo pwani ila imeingia dar Kama rasi ya tumain jema ilivoingia baharin😀😀😀😀😀

Kuna WATU nimewaacha kabisa hapo.....

Just jocking guyz
 
Habarn wandugu

Naona kuanzia wiki iliyopita watu wamekua wakiwasakama Sana wanaume wa dar kisa Hawa vijana wetu kutoka KINONDONI

Kwanza kabisa naomba niwatoe hofu wakaz wa dar,. Kipolisi hakuna wilaya ya kinondon Bali Kuna mkoa wa KINONDONI[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Ukiaply matrix ya kawaida, chukua zile wilaya za dar zen angalia leading entry zote ukitokea kwenye row reduction to echlon form (hapa unaweza kuaply simultaneous). Mwisho wa siku unakuta hii KINONDONI haipo dar kabisa ipo pwani ila imeingia dar Kama rasi ya tumain jema ilivoingia baharin[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kuna WATU nimewaacha kabisa hapo.....

Just jocking guyz
Lakini ipo dar mkuu kumbuka kwamba Rafiki yako akiwa shoga nawe lazima uitwe Shoga ata kwa kule kuongozana nae tu, utasikia majirani wakisema mashoga yale yanaongozana
 
Kumbe lile jina la Wanaume wa Dar lilisababishwa na wanaume wa Kinondoni..
 
Lakini ipo dar mkuu kumbuka kwamba Rafiki yako akiwa shoga nawe lazima uitwe Shoga ata kwa kule kuongozana nae tu, utasikia majirani wakisema mashoga yale yanaongozana
Dah umenichekesha kinoma
 
Kumbe lile jina la Wanaume wa Dar lilisababishwa na wanaume wa Kinondoni..
Ndio mkuu si unajua watu wa mkoani wanashindwa kutamka KINONDONI so wanaita dar tu coz ipo huku
 
Back
Top Bottom