Jambo, linaloshangaza ni kwamba watanzania (mgonjwa na wanaolea) hawaulizi maswali wanapokuwa na daktari!
Maswali kama haya, au faida, hasara ...then wanakubaliana blindly na kuja kuuliza hapa!!
Traction, under GA hufanywa kama njia ya kunyoosha kiungo/viungo hasa mifupa wakati mgonjwa akiwa amepewa dawa ya usingizi!Hii hufanywa kwa njia mbalimbali mf. Skeletal Traction au Skin Traction kutegemeana na Umri, Aina ya mfupa/mifupa, Sehemu mfupa ulipo, n.k.