Ufafanuzi juu ya Traction under GA operation

Ufafanuzi juu ya Traction under GA operation

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
1,459
Reaction score
286
Wakuu wataalam wa magonjwa ya binadamu, naomba ufafanuzi juu ya tiba ya Traction under GA operation, je hii tiba/operation inafanywaje?

Nimeshauriwa nimpeleke mgonjwa wangu akapate hii tiba kwa kuwa eti anasumbuliwa na uti wa mgongo.

Naomba nijulishwe hii tiba inafanywaje? Je ni operation?

Mliobobea eneo hili naombeni msaada.........
 
Wadau wa JF hamna mwerevu eneo hili?
 
Jambo, linaloshangaza ni kwamba watanzania (mgonjwa na wanaolea) hawaulizi maswali wanapokuwa na daktari!
Maswali kama haya, au faida, hasara ...then wanakubaliana blindly na kuja kuuliza hapa!!

Traction, under GA hufanywa kama njia ya kunyoosha kiungo/viungo hasa mifupa wakati mgonjwa akiwa amepewa dawa ya usingizi!Hii hufanywa kwa njia mbalimbali mf. Skeletal Traction au Skin Traction kutegemeana na Umri, Aina ya mfupa/mifupa, Sehemu mfupa ulipo, n.k.
 
Back
Top Bottom