hahahahaha mamito pole kwa safari ya idodomia
Kumbe hukuniona pale pembeni yake!
Mie nilitoka nje maana nilivurugwa!
Kuna comment ya mkulu pia,"una husband"!!. Kilichofuata ni utata wa kauli na vitendo vya Asha Rose Migiro na MR.Yaelekea kuna conflict.
Ooh pole kwa mvurugo
Huna shughuli za kufanya wewe? Acha mambo private ya Watu. FANYA yako.
Ha haa nasubiri mnitumie nauli ya kurudi,nimekwama huku,matumaini yameyeyuka gafla
Ha haa nasubiri mnitumie nauli ya kurudi,nimekwama huku,matumaini yameyeyuka gafla
Nipo hapa nikifuatilia waliokuwa wagombea wakitoa neno la mwisho.Kama kuna mnaofuatilia kwa karibu Mara Migiro akasema namsukuru mume rafiki yangu Migiro nachelea kumwita mpenzi kwa sababu ninaye mwingine humu ninayemwita mpenzi Seif Khatibu pia akasema kauli yake isilete mtafaruki kwenye familia yake.
Je, kuna anayefahamu kama huwa anamwita mpenzi Seif na ni kwanini mna nimeona wengi wakiacha midomo wazi mana ni ngumu kumeza.Na pale mwisho mumewe alitaka kushow love kwa kumbebea mkoba akanyanganya mana ni kama walivutana huu si uongo ni live na mashahidi mmeona sijatunga.
Tafadhali najua hapa JF hakushindwi kitu hata kama hayatuhusu lakini tujue kidogo.
aksante.
Ha haa nasubiri mnitumie nauli ya kurudi,nimekwama huku,matumaini yameyeyuka gafla
Baki huko huko........
Wenzako walipiga double... walikuwa team matumaini na team twenda na maembe...we ulikomaa na matumaini tuππ
Labda anajua KUKUNA kama yule mbunge wa EALA kutoka Zanzibar anayegombaniwa na wanawake wa Kiganda!
Aisha si ni mkewe we uko wapi! Mbona walioana na bungeni wakatangazwa