Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

mpenzi wewe inafikiri lina maana moja?kuna wapenzi kwa maana ya ushabiki na kupenda kusikuhusiana na sex
 
Kuna comment ya mkulu pia,"una husband"!!. Kilichofuata ni utata wa kauli na vitendo vya Asha Rose Migiro na MR.Yaelekea kuna conflict.

Umekaribia Uhalisia wa jambo lenyewe. .. ! Khatibu Ni Kioo Tu Cha Kujitizamia.
 
Huna shughuli za kufanya wewe? Acha mambo private ya Watu. FANYA yako.

Hii forum ni ya kujadili watu na mambo yao yawe private au wazi... By the way, yeye mwenyewe kaona si private na ndiyo maana amelisema pale.....

Nami ni mmoja wapo kati ya wasiojuwa lolote juu yan kauli ile... wmenye kujuwa atujuze
 
Speech ilikuwa nzuri sana
hadi hapo alipoleta utani ndo akaiharibu kabisa
 
Acheni porojo Prof anabahati kuwa na Mke kama Asharose aisee... She is very submissive ... Dah!!! kuna watu wanaishi katika pepo hapa Duniani ...
Nipo hapa nikifuatilia waliokuwa wagombea wakitoa neno la mwisho.Kama kuna mnaofuatilia kwa karibu Mara Migiro akasema namsukuru mume rafiki yangu Migiro nachelea kumwita mpenzi kwa sababu ninaye mwingine humu ninayemwita mpenzi Seif Khatibu pia akasema kauli yake isilete mtafaruki kwenye familia yake.

Je, kuna anayefahamu kama huwa anamwita mpenzi Seif na ni kwanini mna nimeona wengi wakiacha midomo wazi mana ni ngumu kumeza.Na pale mwisho mumewe alitaka kushow love kwa kumbebea mkoba akanyanganya mana ni kama walivutana huu si uongo ni live na mashahidi mmeona sijatunga.

Tafadhali najua hapa JF hakushindwi kitu hata kama hayatuhusu lakini tujue kidogo.

aksante.
 
Subirini October 30, Nyie wote mnaodiscuss issue za watu badala ya issues za maendeleo, tingatinga atawakomesha
 
Ha haa nasubiri mnitumie nauli ya kurudi,nimekwama huku,matumaini yameyeyuka gafla

Wenzako walipiga double... walikuwa team matumaini na team twenda na maembe...we ulikomaa na matumaini tu😀😀
 
ngoja niwatafute wadau tukukombee mmeenda njia moja kurudi kila mtu lake.........lazima urudi uandikishaji unafika kikomo

Hayo ndio maneno sasa,tulifurahi pamoja na tulie pamoja cc: Preta
 
Last edited by a moderator:
Wenzako walipiga double... walikuwa team matumaini na team twenda na maembe...we ulikomaa na matumaini tu😀😀

Matumaini yalinishawishi zaidi best. We nifanyieni mpango nirudi chuga niwahi BVR
 
Back
Top Bottom