UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

1634212306243.png
 
Kipindi hicho kahama wanamfagilia balsa mwanamziki mtoto WA Dandu maana anko yake aliyekuwa WA jina Hilo alikuwa akiishi Kahama..
Hilo jina lako linafanana na sehemu njiapanda ya kwenda meatu, simiyu.
 
Hueleweki kabisa,yaani unajikanyaga na kujirudisha wewe mwenyewe
Mwaka 2017 uliandikaje?
Kuwa baba ako ni msukuma na alikuwa Dj Arusha,au unadhani tumesahau???
Hata huyo abdal naye alikuwa DJ
 
Back
Top Bottom