Wadau natumai mko shwari. Leo nimepita hapa Korogwe, Tanga nimekuta msako wa TRA dhidi ya bajaji ambazo hazijalipa mapato. Hivi serikali hawakuiondoa bajaji kwenye kodi ya mapato? Mwenye taarifa sahihi na uelewa tafadhali atupie, isije kuwa tra wanaonea watu tu kwa sababu hawajui. KARIBU.