Ufafanuzi: Kodi ya mapato ya bajaji ipo au ilifutwa?

Ufafanuzi: Kodi ya mapato ya bajaji ipo au ilifutwa?

KDS

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
46
Reaction score
15
Wadau natumai mko shwari. Leo nimepita hapa Korogwe, Tanga nimekuta msako wa TRA dhidi ya bajaji ambazo hazijalipa mapato. Hivi serikali hawakuiondoa bajaji kwenye kodi ya mapato? Mwenye taarifa sahihi na uelewa tafadhali atupie, isije kuwa tra wanaonea watu tu kwa sababu hawajui. KARIBU.
 
Back
Top Bottom