Ufafanuzi kuhusu Alliance in global motion

Omkama

Senior Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
131
Reaction score
44
Kwema wadau naomba mwenye uelewa na kampuni hii ya Alliance in global motion anambie ukweli wa hawa watu mana kuna mdada mmoja mphilipino aliniomba urafiki fb nikachat nae nikamuuliza lengo la kuniomba urafiki ni lipi akajitambulisha anaitwa Mentor Jane na akaeleza dhumuni lake.

Ukweli nilimuelewa vizuri sana shida inakuja sina uhakika wa yale aliyonambia hasa kuhusu mimi nitakavyonufaika nikijiunga kwenye hii kampuni tafadhari naomba mwenye uelewa na hii kampuni anipe upeo hasa kuhusu maslahi ya mwanachama.
 
Ipo kama forever living, ni network marketing, a pyramid scheme
 
Uko mkoa gani nikupe kitu cha kimanga achana na mentor jane atakuzingua yupo mbali na kipochi manyoya usipate.
 
Hawa wanakufanya wewe ndio fursa wanamaneno matamu sana ukiwapa sikio yani hata kama ulikuwa umeweka pesa kwenye kibubu unakipasua uwape.
Wanakwambia kujiunga ni laki 5 halafu wanakupa bidha aidha uzitumie au uziuze, hiyo laki tano unaipoteza kwamaana hutaziuza hizo bidhaa kwa wakati.
Laki 5 ni mtaji mkubwa sana kama uko serious unaweza fanya biashara ya genge na ukatoka kuliko kumpa mzungu
Kuna ndugu yangu alitoa 1.5 Mil akajiunga na phytoscience kilichomtokea nitawapa namba yake ya simu mmuulize.

Za kuambiwa changanya na zako

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Kabisa hao jamaa wiz mtupuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
71547.jpg

Ushimen umeona hii???
 
Hawa wanakufanya wewe ndio fursa wanamaneno matamu sana ukiwapa sikio yani hata kama ulikuwa umeweka pesa kwenye kibubu unakipasua uwape.
Wanakwambia kujiunga ni laki 5 halafu wanakupa bidha aidha uzitumie au uziuze, hiyo laki tano unaipoteza kwamaana hutaziuza hizo bidhaa kwa wakati.
Laki 5 ni mtaji mkubwa sana kama uko serious unaweza fanya biashara ya genge na ukatoka kuliko kumpa mzungu
Kuna ndugu yangu alitoa 1.5 Mil akajiunga na phytoscience kilichomtokea nitawapa namba yake ya simu mmuulize.

Za kuambiwa changanya na zako

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Hahahaaaa... Eti utatupa namba tumuulize, we jamaa ni nyoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanakufanya wewe ndio fursa wanamaneno matamu sana ukiwapa sikio yani hata kama ulikuwa umeweka pesa kwenye kibubu unakipasua uwape.
Wanakwambia kujiunga ni laki 5 halafu wanakupa bidha aidha uzitumie au uziuze, hiyo laki tano unaipoteza kwamaana hutaziuza hizo bidhaa kwa wakati.
Laki 5asante kwa kunipa mwanga ni mtaji mkubwa sana kama uko serious unaweza fanya biashara ya genge na ukatoka kuliko kumpa mzungu
Kuna ndugu yangu alitoa 1.5 Mil akajiunga na phytoscience kilichomtokea nitawapa namba yake ya simu mmuulize.

Za kuambiwa changanya na zako

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Hehee watu mna majungu sasa kipi cha ajabu hapo eti ushmen umeona hi?? Mara nina mpango wa kuroga ahahahaaaa

Nina mpango wa kuroga, huyu mwenye anatumia picha yangu kama avatar.
 
Back
Top Bottom