Omkama
Senior Member
- Feb 19, 2012
- 131
- 44
Kwema wadau naomba mwenye uelewa na kampuni hii ya Alliance in global motion anambie ukweli wa hawa watu mana kuna mdada mmoja mphilipino aliniomba urafiki fb nikachat nae nikamuuliza lengo la kuniomba urafiki ni lipi akajitambulisha anaitwa Mentor Jane na akaeleza dhumuni lake.
Ukweli nilimuelewa vizuri sana shida inakuja sina uhakika wa yale aliyonambia hasa kuhusu mimi nitakavyonufaika nikijiunga kwenye hii kampuni tafadhari naomba mwenye uelewa na hii kampuni anipe upeo hasa kuhusu maslahi ya mwanachama.