Kabisa hao jamaa wiz mtupuuuuHawa wanakufanya wewe ndio fursa wanamaneno matamu sana ukiwapa sikio yani hata kama ulikuwa umeweka pesa kwenye kibubu unakipasua uwape.
Wanakwambia kujiunga ni laki 5 halafu wanakupa bidha aidha uzitumie au uziuze, hiyo laki tano unaipoteza kwamaana hutaziuza hizo bidhaa kwa wakati.
Laki 5 ni mtaji mkubwa sana kama uko serious unaweza fanya biashara ya genge na ukatoka kuliko kumpa mzungu
Kuna ndugu yangu alitoa 1.5 Mil akajiunga na phytoscience kilichomtokea nitawapa namba yake ya simu mmuulize.
Za kuambiwa changanya na zako
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Hahahaaaa... Eti utatupa namba tumuulize, we jamaa ni nyokoHawa wanakufanya wewe ndio fursa wanamaneno matamu sana ukiwapa sikio yani hata kama ulikuwa umeweka pesa kwenye kibubu unakipasua uwape.
Wanakwambia kujiunga ni laki 5 halafu wanakupa bidha aidha uzitumie au uziuze, hiyo laki tano unaipoteza kwamaana hutaziuza hizo bidhaa kwa wakati.
Laki 5 ni mtaji mkubwa sana kama uko serious unaweza fanya biashara ya genge na ukatoka kuliko kumpa mzungu
Kuna ndugu yangu alitoa 1.5 Mil akajiunga na phytoscience kilichomtokea nitawapa namba yake ya simu mmuulize.
Za kuambiwa changanya na zako
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Nina mpango wa kuroga, huyu mwenye anatumia picha yangu kama avatar.
Hawa wanakufanya wewe ndio fursa wanamaneno matamu sana ukiwapa sikio yani hata kama ulikuwa umeweka pesa kwenye kibubu unakipasua uwape.
Wanakwambia kujiunga ni laki 5 halafu wanakupa bidha aidha uzitumie au uziuze, hiyo laki tano unaipoteza kwamaana hutaziuza hizo bidhaa kwa wakati.
Laki 5asante kwa kunipa mwanga ni mtaji mkubwa sana kama uko serious unaweza fanya biashara ya genge na ukatoka kuliko kumpa mzungu