Ufafanuzi kuhusu Famasi na radiology

Ufafanuzi kuhusu Famasi na radiology

pharmast

Member
Joined
Sep 8, 2024
Posts
47
Reaction score
99
Habari wakuu Ninaomba ushauri Kwa mdogo wangu asome kozi ipi Kwa ngazi ya degree kati ya famasi na radiology,na ipi Ina nafasi nzuri Katika kujiajiri mwenyewe hata ukikosa nafasi ya ajira serikalini nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo
 
Narudia tena kwa herufi kubwa.

"KAMA NI DEGREE SOMA PHARMACY NI HELA TUPU CHETI CHAKO NI LULU,ILA KAMA NI DIPLOMA YAKE USITHUBUTU HAINA SHAVU INA NJAA KULIKO CLINICAL MEDICINE. KAMA DIPLOMA HUNA UWEZO WA DEGREE KASOME RADIOLOGY BADO MNAHITAJIKA MTAANI NA SERIKALINI"
 
Habari wakuu Ninaomba ushauri Kwa mdogo wangu asome kozi ipi Kwa ngazi ya degree kati ya famasi na radiology,na ipi Ina nafasi nzuri Katika kujiajiri mwenyewe hata ukikosa nafasi ya ajira serikalini nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo
Awe kama wewe tuu.
 
Radiology.

Kwa maelezo zaidi njoo PM
 
Back
Top Bottom