Ufafanuzi kuhusu kilimo cha miti msimu wa mwaka 2014, Iringa

wanagawana iringa yetu matajiri wa nchi hii , Uhuru wa 61 ni unyonyaji wa kutisha! Harakati za mkwawa bado ni kiza! one day tutakuwa huru

Miaka 5 ijayo wazawa watakosa hata maeneo ya kulima migogoro ya ardhi itaibuka
 
Nimeshatishika, kidogo nifanye mamuzi, ngoja nione mpango wa kwenda study mwenyewe Mafinga.
 
Malila amesema hilo jamaa ni jambarika so tek kea bibie

Kuna mwingine juzi juzi hapa kajitokeza TBC, kasema vitu vya ajabu kabisa, hata waliorusha kipindi kile sijui hawakufanya utafiti au ndio hivyo tena.

Bei alizotaja yule dogo ni wizi mtupu.
 
Kuna mwingine juzi juzi hapa kajitokeza TBC, kasema vitu vya ajabu kabisa, hata waliorusha kipindi kile sijui hawakufanya utafiti au ndio hivyo tena.

Bei alizotaja yule dogo ni wizi mtupu.

mkuu nna shamba kule mzenga ni udongo wa mfinyanzi mweusi vipi unafaa kwa kilimo cha miti
 
Nimeshatishika, kidogo nifanye mamuzi, ngoja nione mpango wa kwenda study mwenyewe Mafinga.

Mafinga hakuna mashamba pale, utauziwa maeneo ya jeshi uanze kulia bure!!!!!!! Nenda Mgololo ndani karibu na Kitete ndio kwenye mashamba,au nenda Ziroziro kule. Kwa ufupi, inabidi kuwa makini kidogo sasa hivi, hasa kwa Wilaya ya Mufindi, ipo mipori ya serikali na ipo mipori ya watu ilinunuliwa zamani.

Nilitia timu Kiponzero (Keep on zero) juzi hapa,kumbe mipori yenyewe ni mali za watu, hii ni Iringa vijijini.Mashamba yapo,ila nenda mdogo mdogo.
 
mkuu nna shamba kule mzenga ni udongo wa mfinyanzi mweusi vipi unafaa kwa kilimo cha miti

Ndio, Mzenga napafahamu mpaka kule Mafizi, tatizo mvua za kule ni magumashi sana, mitiki inamea vizuri sana mitaa ya Mzenga, tatizo mvua. Pia Mlonge unakubali sana kule. Au ukiweza nenda bonde la Mwanamsekwa,mitiki inakubali sana.
 
kuna kijiji flan cha gwata kipo pembezon mwa mto ruvu huko je unakijua
 
Miaka 5 ijayo wazawa watakosa hata maeneo ya kulima migogoro ya ardhi itaibuka

Unasema hawa wanaokimbia na boda boda mjini? Huko mashambani wamebaki wazee, siye tumelundikana Buguruni/mwenge na miji mingine tukihangaika na misheni town.

Sasa kwa sbb sisi tuko mjini tunacheza pool,tunaangalia ligi za majuu,na kutembeza mitumba barabarani, wacha mafisadi waende shamba wakatulimie. Siku tukijua haja ya kulima, ndio itajulikana hapo hapo.
 
Ni miti ya aina gani unaweza panda tabora? Msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…