Ufafanuzi kuhusu kupunguzwa kwa vifurushi (bundles)

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Nyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai.

Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.
 
Acha makasiriko mkuu, andika ukiwa huna jazba
 
Nyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai.

Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.
Data sio ofa, zinanunuliwa duniani kote na baadhi ya nchi na Taasisi ni free, nchi yoyote yenye maendeleo kuna mawasiliano rafiki, haiwezekani hadi TTCL wawena mawazo haya, na kwanini yaje kipindi hiki cha wezi
 
Nyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai.

Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.
 
Attachments

  • A396FF64-1AA6-4739-A97E-A497BF13E47B.jpeg
    A396FF64-1AA6-4739-A97E-A497BF13E47B.jpeg
    58.2 KB · Views: 3
  • 931D2478-52B8-4229-ABC0-6FE5C02B5E92.jpeg
    931D2478-52B8-4229-ABC0-6FE5C02B5E92.jpeg
    91.9 KB · Views: 4
kwa tanzania bado internet inaonekana ni kitu cha anasa kama kuagiza magari na kodi zake
 
Sasa hivi nadhani na tractor used hawataki yaingie pana mtu kaweka kiwanda chake hapo anasumbua ya kutoka Nje hiyo Nchi watu wachache wapo radhi kuua Raia kivyovyote vile ili mradi wao wapate gawio kirahisi...
 
Nyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai.

Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.
Bwana Nape, tumia id yako tu
 
Back
Top Bottom