Data sio ofa, zinanunuliwa duniani kote na baadhi ya nchi na Taasisi ni free, nchi yoyote yenye maendeleo kuna mawasiliano rafiki, haiwezekani hadi TTCL wawena mawazo haya, na kwanini yaje kipindi hiki cha weziNyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai.
Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.
It is very sad kuwa baba yako na mama yako unawajumuisha umu. Tumia lugha ya staha. Enjoy your Friday!Watanzania ni mambumbumbu sana
Nyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai.
Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.
Sasa hivi nadhani na tractor used hawataki yaingie pana mtu kaweka kiwanda chake hapo anasumbua ya kutoka Nje hiyo Nchi watu wachache wapo radhi kuua Raia kivyovyote vile ili mradi wao wapate gawio kirahisi...kwa tanzania bado internet inaonekana ni kitu cha anasa kama kuagiza magari na kodi zake
Bwana Nape, tumia id yako tuNyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai.
Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.