Wakuu salama?.
Nilikuwa nimekaa leo najiwazia ila sijapata majibu kuhusu hili swala, kama mnavyojua SIMBA SC ndio Mabingwa wa nchi msimu huu hivyo kulingana na kanuni zetu za Tff huyu tayari ndiyo mwakilishi wa Kombe la klab bingwa Africa msimu ujao.
Je ni vipi kama ikitokea Simba akamfunga Yanga hiyo Tar.12/07 na kutinga fainali na Akabeba Kombe,Je ni nani Atakayeiwakilishi nchi kwenye kombe la Shirikisho Africa ikizingatiwa kwamba Mshindi wa Azam confederation ndio anatakiwa kuwa mwakilishi!?
Msaada wenu tafadhali wakuu.
Mwaka jana, alidhurumiwa LIPULI, na kupelekwa KMC. Mwaka huu, wataangalia tena namna ya kumchomeka Yanga!Anaenda Mshindi wa Pili kwenye Kombe la Shirikisho ( Mashindano husika)
Mwaka jana, alidhurumiwa LIPULI, na kupelekwa KMC. Mwaka huu, wataangalia tena namna ya kumchomeka Yanga!
Acha kuchanganya mambo weweMwaka jana, alidhurumiwa LIPULI, na kupelekwa KMC. Mwaka huu, wataangalia tena namna ya kumchomeka Yanga!
Kwani ikitokea simba akajisemea mimi nataka kucheza kombe la shirikisho sitaki klabu bingwa atalazimishwa itakuwaje japo ni ngumu kuacha kushiki kombe la mabingwa ukacheza shirikisho??Kwa kanuni za sasa, mwakilishi wa nchi kwenye mashindano ya shirikisho ya CAF atatokana na mashindano ya shirikisho yaani AZAM confederation.
Endapo itatokea mshindi wa kombe la AZAM atakua na nafasi nyingine ya kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa, basi makamu wake (mshindi wa pili) kwenye kombe la Azam ndiye atakayepata nafasi hiyo ya kushiriki shirikisho.
Kwa sasa, hakuna namna yoyote ile mshiriki wa CAF confederation akatokana na ligi kuu kwa labda pale tu ambapo nchi itatakiwa kuwakilishwa na timu mbili huko kwenye shirikisho (KMC walinufaika na huu utaratibu mwaka jana).
Sidhani kama nachanganya. Mwaka jana, tulipata fursa ya kuwakirishwa na timu mbili mbili kwenye hayo mashindano. Ilikuwa ni bahati tu, baada ya Simba kufanya vizuri, msimu uliopita.Acha kuchanganya mambo wewe
Kwa muujibu wa sheria hawawezi kuwakilishaSidhani kama nachanganya. Mwaka jana, tulipata fursa ya kuwakirishwa na timu mbili mbili kwenye hayo mashindano. Ilikuwa ni bahati tu, baada ya Simba kufanya vizuri, msimu uliopita.
Simba, na Yanga, walituwakirisha Klabu bingwa, ikiwa ni mshindi wa kwanza na wa pili, wa VPL. Huko Azam, mshindi alikuwa Azam, mshindi wa pili alikuwa LIPULI. Hivi, hilo kombe la Azam, angelichukua Lipuli, na mshindi wa pili angekuwa ni AZAM, au YANGA, au SIMBA na wakati huo huo timu hizo huko VPL zipo nafasi ya 3- ,zingeikosa hiyo nafasi ya kutuwakirisha kwa tafsiri ya ushindi wa pili kombe la Azam?
Basi hujui kanuni na sheria za kupata mwakilishiSidhani kama nachanganya. Mwaka jana, tulipata fursa ya kuwakirishwa na timu mbili mbili kwenye hayo mashindano. Ilikuwa ni bahati tu, baada ya Simba kufanya vizuri, msimu uliopita.
Simba, na Yanga, walituwakirisha Klabu bingwa, ikiwa ni mshindi wa kwanza na wa pili, wa VPL. Huko Azam, mshindi alikuwa Azam, mshindi wa pili alikuwa LIPULI. Hivi, hilo kombe la Azam, angelichukua Lipuli, na mshindi wa pili angekuwa ni AZAM, au YANGA, au SIMBA na wakati huo huo timu hizo huko VPL zipo nafasi ya 3- ,zingeikosa hiyo nafasi ya kutuwakirisha kwa tafsiri ya ushindi wa pili kombe la Azam?
Yanga asipomfunga Simba hiyo tarehe 12 ajue hakuna muujiza unaoweza kufanyika kumbeba. Yanga ijibebe yenyewe isisubiri mbeleko.Mwaka jana, alidhurumiwa LIPULI, na kupelekwa KMC. Mwaka huu, wataangalia tena namna ya kumchomeka Yanga!
Kwani ikitokea simba akajisemea mimi nataka kucheza kombe la shirikisho sitaki klabu bingwa atalazimishwa itakuwaje japo ni ngumu kuacha kushiki kombe la mabingwa ukacheza shirikisho??
Pia msiwe na wasi wasi mshindi wa FA ya bongo ni Yanga hata msiumize bichwa