Ufafanuzi kuhusu Mshindi wa Kombe la Shirikisho la Azam na Qualification ya CAF confederation cup msimu ujao

Ufafanuzi kuhusu Mshindi wa Kombe la Shirikisho la Azam na Qualification ya CAF confederation cup msimu ujao

naona mnaangaika tu na mihogo yenu sijui simba yanga namungo ila kiukweli atakae pangiwa na sahare aandike kaumia hilo kombe lazima liende Tanga tu nasahare ndio mabingwa
Sawa
 
Kwa muujibu wa sheria hawawezi kuwakilisha
Kwa hiyo, Simba akichukua hilo kombe la Azam, na yeye kuchagua kwenda Klabu bingwa, ina maana huyo finalist huyo wa Azam, hatapata hiyo nafasi? (JF ni shule tosha, naweza kufundishwa nisichokijua)
 
Kwa hiyo, Simba akichukua hilo kombe la Azam, na yeye kuchagua kwenda Klabu bingwa, ina maana huyo finalist huyo wa Azam, hatapata hiyo nafasi? (JF ni shule tosha, naweza kufundishwa nisichokijua)
Ndio, ikitokea Simba kaingia fainali atakayeenda shirikisho ni kati ya Namungo au Sahara united. Hiyo ni kwa muujibu wa sheria
 
Yanga ndio timu pekee iliyobeba makombe hayo yote kwa msimu mmoja,Yanga ikaenda klabu bingwa,shirikisho akamzawadia Azam pamoja na kumramba 3-0 kwenye fainal.Jaja hoyeee!
 
Back
Top Bottom