Sawanaona mnaangaika tu na mihogo yenu sijui simba yanga namungo ila kiukweli atakae pangiwa na sahare aandike kaumia hilo kombe lazima liende Tanga tu nasahare ndio mabingwa
Kwa hiyo, Simba akichukua hilo kombe la Azam, na yeye kuchagua kwenda Klabu bingwa, ina maana huyo finalist huyo wa Azam, hatapata hiyo nafasi? (JF ni shule tosha, naweza kufundishwa nisichokijua)Kwa muujibu wa sheria hawawezi kuwakilisha
Ndio, ikitokea Simba kaingia fainali atakayeenda shirikisho ni kati ya Namungo au Sahara united. Hiyo ni kwa muujibu wa sheriaKwa hiyo, Simba akichukua hilo kombe la Azam, na yeye kuchagua kwenda Klabu bingwa, ina maana huyo finalist huyo wa Azam, hatapata hiyo nafasi? (JF ni shule tosha, naweza kufundishwa nisichokijua)
hata Kagame hawatapata nafasiWatashiriki Simba na Namungo.
Utopolo wataenda kagame.
Kingine cha nguruwe kinawahusu.Hilo kombe mikia watalipataje wakati wanasubiri kipigo toka kwa Yanga
Yanga na upuuzi wa Kagame wapi na wapi?hata Kagame hawatapata nafasi
Naomba urekebishe sio ikitokea bali final ni simba na namungoNdio, ikitokea Simba kaingia fainali atakayeenda shirikisho ni kati ya Namungo au Sahara united. Hiyo ni kwa muujibu wa sheria