Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Sahihi mkuu. kilichowaponza ni ukambale unaanzaje kumfukuzia mtu na hamjui kama ana siraha ama lah!Next time zitaanza kuunguzwa hizo gari wawe makini sana watu wamechafukwa wakiona vipi vipi yanaanza kutafutwa maandazi ya Mungu mapema sana
Kituo kinachofuata tumeshavuka stage sasa ni kushtuana hata kupigiana Simu Wazee na sisi shughuli km hizo zisitupite tunapenda kurusha mawe kwenye vioo vya magari, siku nyingine tupigiane hata simu basi sio mnarusha mawe peke yenuSahihi mkuu. kilichowaponza ni ukambale unaanzaje kumfukuzia mtu na hamjui kama ana siraha ama lah!
Nina uhakika TRA hana mamlaka ya kwenda kukamata mtu bila kuwa na police yaani kienyeji tu. wapigwe ili wajue mipaka yao. Kama kusema tumesema sana humu hawasikii
Kabisa saivi inatakiwa tu Alert yaani ukisema watekaji na location ulipo chap sana fika pale na maweKituo kinachofuata tumeshavuka stage sasa ni kushtuana hata kupigiana Simu Wazee na sisi shughuli km hizo zisitupite tunapenda kurusha mawe kwenye vioo vya magari, siku nyingine tupigiane hata simu basi sio mnarusha mawe peke yenu
Mawe kwenye machela kibegi cha vitofali sio wanateka watu wanaenda kuwaua huko sisi tunaangalia tu, simu ziiteKabisa saivi inatakiwa tu Alert yaani ukisema watekaji na location ulipo chap sana fika pale na mawe
Pigwa vitofali ilisahaulika petroli na kiberiti tu yangekua mengine muda huu watu wangepigwa mishikaki fasta fastaMtakufa nyie 🤣🤣🤣.
kwani kulikuwa na ulazma wa kulikimbiza?namba za gari za usajili wake si zipo?mngeenda kumfuatilia kimya kimya sio kukumbizana.
hapo hapo tegeta ndipo aliposhushwa marehemu Mzee kibao.mnadhani mngeachiwa?mshukuru MUNGU amewapenda japo hajawapenda ZAIDI.
Doria ya Tra Haina hata polisi wa kukamata mtu ambaye kavaa uniform.Pigwa vitofali ilisahaulika petroli na kiberiti tu yangekua mengine muda huu watu wangepigwa mishikaki fasta fasta
POLIS MLIKUWA NAO?View attachment 3170012
UFAFANUZI KUHUSU SHAMBULIO LA GARI NA WATUMISHI WA TRA KATIKA ENEO LA TEGETA (Kwa Ndevu)
Dar es Salaam, 06 Desemba, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.
Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.
Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"
Imetolewa na;
IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO
Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe
Plate namba si hoja, hata kwenye mkokoteni zinawekwa, wewe utakuwa ni mgeni nchini.mpaka wanaplate namba ni kinyemela kweli? au kuna jambo lililojificha
Alikuja na Noah au Ruam? Gari pia mliiwasha kiberiti au?Huko ni wastaarabu ingekuwa huku kwetu, ni majivu tu yangebaki. Jumapili yupo kijana aliteketezwa kwa moto kabisa.
Hata wangekua na polisi kingenuka na polisi wangeyachezea maandazi tu hawaaminiki hao wale jamaa si wanakuja na pingu kujifanya wao ni polisi hizo pingu wanazitoa wapi km sio polisi?POLIS MLIKUWA NAO?
KIPINDI HIKI WATU WANATEKWA HALAFU MNAJIPELEKA BILA KUWA NA POLIS WENYE UNIFORM UNATEGEMEA NI I?
MPIGWE TU.
Hata wahusika hawajakemewa Wala kuchukuliwa hatuaMbona hata hamjawataja kwa majina watumishi
Utamkamata nani ushachezea maandazi ya kutosha?Hata wahusika hawajakemewa Wala kuchukuliwa hatua
Wangeomba msaada wa polisi au hata traffic aisimamishe, then wao waingie katiHii ni ngeni kwako? Fatilia vizuri hao jamaa wana operations zao, wapelelezi, intelejensia yao na wanakamata vilevile, haijalishi siku wala masaa.