Ufafanuzi kuhusu speed High way

Kitaalamu mkuu Highway speed ni 90 mpaka 120Km/hr isiwe zaidi
 
Hahahahaha ndio dawa yao tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama una mashine unaandikiwa tu. Kwani kitu gani bana
 
Siku hizi mkazo umeweka kwenye vivuko vya waenda kwa miguu. Unatakiwa usizidi 50 unapovipita. Ni balaa. Mie nilishajaribu lakini lazima wanibambe tu. Maana ni vingi mno.
 

Kibao Cha kumaliza 50KPH huwa na mistari minne au mitatu hivi. Ambayo maana yake ni kwamba kama kina mistari mitatu, ukitembea mita 300 ndiyo unamaliza speed limit ya 50.

Na kama kina mistari minne, ukitembea mita 400 ndiyo unamaliza speed limit ya 50.
 
180 huwa tamu jaribu uone πŸ™‚πŸ™‚

Ukipita na 180 pale Same gari inaweza kwenda nje ya road. Kuna upepo mkali Sana hata TANROADS wameweka tahadhari.

By the way speed inategemea na vitu vingi ikiwemo uwezo na uimara wa gari husika.
 
Kuna siku nasimamishwa na trafiki barabaran ananiambia niko speed sana na kulikuwa hmna kibao cha speed 50 nami nilikuwa speed around 120 hvi,nilihic labda kuna maelekezo mapya siyajui

Pia kuna traffic wengine huonyesha ishara ya kushusha speed hata kama hukimbii. Hii ni kwa sababu za kiusalama tu. Mwendo kasi ni hatari pia.
 
Mkuu hii ni shule mpya, sikujua kama ile mistari ni mita
 
Kutoka katika kifungu kipi cha sheria ipi?
 
Kutoka katika kifungu kipi cha sheria ipi?

Sijasoma kwenye sheria ila nimesoma shule kwenye kipengele Cha alama za barabarani. Maelekezo, amri, taarifa na maonyo.
 
Wakuu nahitaji ufafanuzi kidogo kuhusu hivi vibao vya speed barabarani.Mfano umeshamaliza kibao cha speed 50 baada ya hapo unatakiwa utembee na speed ngapi (Gari ndogo) maana mabasi najua yana ving'amuzi
Mwisho ni speed 100 tu.
 
Ukipita na 180 pale Same gari inaweza kwenda nje ya road. Kuna upepo mkali Sana hata TANROADS wameweka tahadhari.

By the way speed inategemea na vitu vingi ikiwemo uwezo na uimara wa gari husika.
Upo sawa kabisa.. kuna njia na mahala pa kuionha hiyon180 sio kila sehemu na kuna aina ya gari na gari pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…