Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
Mwendo kasi ni hatari mnoUpo vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendo kasi ni hatari mnoUpo vizuri
Kweli kabisa hivi vyombo vya moto, kuchukua taadhari ni muhimu sana.. japo mie huwa nafika hadi 180 ila mapa moja moja sanaaaaMwendo kasi ni hatari mno
Hahahahaha ndio dawa yao tu 😂😂😂 kama una mashine unaandikiwa tu. Kwani kitu gani banaKuna siku wamenisimamisha mmoja wao ananiambia kwamba nimesimamishwa kwa ajili ya spidi, nikamwambia, hii gari ina kikomo cha 240/ hr mimi nilikuwa 180/hr. Sasa inakuwaje unasema nimezidi speed ?. Kwa hasira akanifyatulia risiti na kunitupia dirishani, nilipandisha kioo na kuondoka kwa slip kali iliyowaachia vumbi la kutosha..!!
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] ..yeah...!!!Hahahahaha ndio dawa yao tu [emoji23][emoji23][emoji23] kama una mashine unaandikiwa tu. Kwani kitu gani bana
Baada ya kibao cha 50 subiria mita 100 nyingine alafu baada ya hizo ni wewe, gari lako na Mungu wako. Cha ziada tu kama unataka kuovertake angalia kwa umakini side mirrors zako na mistari ya barabarani.
Cha ziada zaidi, ukiona kulia kwako kuna kibao kinachoruhusu magari ya nayoenda unakotoka yatembee zaidi ya 50, ujue fika hiyo eneo ni 50 hata kama hujabahatika kuona kibao.
180 huwa tamu jaribu uone 🙂🙂
Kuna siku nasimamishwa na trafiki barabaran ananiambia niko speed sana na kulikuwa hmna kibao cha speed 50 nami nilikuwa speed around 120 hvi,nilihic labda kuna maelekezo mapya siyajui
Mkuu hii ni shule mpya, sikujua kama ile mistari ni mitaKibao Cha kumaliza 50KPH huwa na mistari minne au mitatu hivi. Ambayo maana yake ni kwamba kama kina mistari mitatu, ukitembea mita 300 ndiyo unamaliza speed limit ya 50.
Na kama kina mistari minne, ukitembea mita 400 ndiyo unamaliza speed limit ya 50.
Kutoka katika kifungu kipi cha sheria ipi?Kibao Cha kumaliza 50KPH huwa na mistari minne au mitatu hivi. Ambayo maana yake ni kwamba kama kina mistari mitatu, ukitembea mita 300 ndiyo unamaliza speed limit ya 50.
Na kama kina mistari minne, ukitembea mita 400 ndiyo unamaliza speed limit ya 50.
Mkuu hii ni shule mpya, sikujua kama ile mistari ni mita
Kutoka katika kifungu kipi cha sheria ipi?
Mwisho ni speed 100 tu.Wakuu nahitaji ufafanuzi kidogo kuhusu hivi vibao vya speed barabarani.Mfano umeshamaliza kibao cha speed 50 baada ya hapo unatakiwa utembee na speed ngapi (Gari ndogo) maana mabasi najua yana ving'amuzi
Hebu kuwa serious basi, au unataka tuwe tunatembea usiku tu?Mwisho ni speed 100 tu.
Upo sawa kabisa.. kuna njia na mahala pa kuionha hiyon180 sio kila sehemu na kuna aina ya gari na gari piaUkipita na 180 pale Same gari inaweza kwenda nje ya road. Kuna upepo mkali Sana hata TANROADS wameweka tahadhari.
By the way speed inategemea na vitu vingi ikiwemo uwezo na uimara wa gari husika.