Kushuka kwa bei ya mahindi nako kunatokana na fedha chafu au fedha za serikali kuondolewa?Fedha haramu na fedha ya serikali imondolewa kutoka hayo mabenki!
Namshukuru Mungu kuwa fedha zangu hazijai kwenye wallet.
Mkuu mwanjamii siyo kweli kuwa SA bank hazizidi kumiSouth africa ni nchi tajiri lakini BANK zake hazizidi 10 kwanini tanzania iwe hivyo?
Moyo wangu sultan, cha mtu sitamani! Acha zikae huko huko benki, watazichukua walioziweka.na hutaki zijae mkuu? pengine unaweza kuhitaji kwenda bank upate mkopo ili zijae pia.
Kuyumba kwa mabenki hasa 'Main Banks' kama NBC, CRDB, AKIBA, TIB, na AZANIA ni dalili ya kuyumba kwa uchumi, tusidanganyane. Baada ya benki 5 kufungiwa leseni ya kufanya biashara,
1.Covenant Bank For Women (T) Ltd
2.Efatha Bank
3.Njombe Community Bank
4.Kagera Farmer's Cooperative Bank
5.Meru Community Bank.
Tahadhari na fedha zako kwenye benki zenye NPL ratio zilizowekewa RED.
View attachment 677706
Hizi institutions za fedha competition ndio jambo LA maana, monopoly hufanya huduma zao kuwa mbayaKwa nini wasiziunge iwe bank moja, umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
Jibu zuri kwa swali makini.We unaweza ukaunga nyumba yako na ya jirani yako ikawa moja je! Mali zake au zako kama ni za kukodi au mkopo mtafanyaje?
jibu madhubut la swali rahicWe unaweza ukaunga nyumba yako na ya jirani yako ikawa moja je! Mali zake au zako kama ni za kukodi au mkopo mtafanyaje?
Waweza kuzishinikiza bank kubwa kama StanChart kwenda kufundua tawi Mbinga, Wanging'ombe n.k? Ma bank mengine - community banks - zilianzishwa kwenye maeneo ambapo ma bank makubwa huku hayaendi kwa sababu za kibiashara na miundombinu mibovu.South africa ni nchi tajiri lakini BANK zake hazizidi 10 kwanini tanzania iwe hivyo?
Ukiona hivyo zinafanya vizuri, angalia list imeanza na namba ngapi.Sijaona baadhi ya benki hapo kama bank of china,bank of india,na kuna ile benki ya marekani iko karibu na holiday inn au zile hazihesabiwi kama benki?
Kwa nini wasiziunge iwe bank moja, umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
South africa ni nchi tajiri lakini BANK zake hazizidi 10 kwanini tanzania iwe hivyo?
Ukiona hivyo zinafanya vizuri, angalia list imeanza na namba ngapi.