Ufafanuzi kuhusu tetesi za kufungwa kwa benki zaidi nchini Tanzania

Ufafanuzi kuhusu tetesi za kufungwa kwa benki zaidi nchini Tanzania

Fedha haramu na fedha ya serikali imondolewa kutoka hayo mabenki!
 
Fedha haramu na fedha ya serikali imondolewa kutoka hayo mabenki!
 
Nchi masikini kama tz ina bank zaid ya 20 du vichekesho sana bora zife zibakie tano tu
South africa ni nchi tajiri lakini BANK zake hazizidi 10 kwanini tanzania iwe hivyo?
Aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT), Edwin Mtei ametahadharisha juu ya uwapo wa benki nyingi nchini akisema wingi wa taasisi hizo unaongeza hatari katika sekta ya fedha.

Mtei ambaye pia ni muasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA alitoa kauli hiyo jana alipohojiwa kuhusu kufutiwa leseni ya biashara na kufungiwa kwa benki tano na tatu kuwekwa chini ya uangalizi.

“Kuzifuta baadhi ya taasisi ni mambo yanayotokea kwenye nchi zenye benki nyingi,” alisema.

Edwin Mtei: Wingi wa benki nchini unahatarisha sekta ya fedha
 
Magufuli kwa ujinga anaofanya sasa ni kazima aangushe uchumi tu.

Hamna jinsi.

Wakulima wa mahindi wanalalamika bei zimeshuka chini. Kwa sababu ya ujinga wa serikali kuingikia biashara.

Wafanyakazi kwenye viwanda vya kahawa wanalalamika viwanda vinafungwa. Kwa sababu ya ujinga wa serikali kuingikia uzalishaji.
 
Back
Top Bottom