Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakiunga nayo itakufa taratibu ..bora kilamtu afe na chake lawama hamnaKwa nini wasiziunge iwe bank moja, umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
Madeni na mikopo mfu itaungana na kuwa KOPO KUBWA pia.Kwa nini wasiziunge iwe bank moja, umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
kwani shule bado hazijafunguliwaKwa nini wasiziunge iwe bank moja, umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
KweliHata wakiunga nayo itakufa taratibu ..bora kilamtu afe na chake lawama hamna
Nchi masikini kama tz ina bank zaid ya 20 du vichekesho sana bora zife zibakie tano tu
Aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT), Edwin Mtei ametahadharisha juu ya uwapo wa benki nyingi nchini akisema wingi wa taasisi hizo unaongeza hatari katika sekta ya fedha.South africa ni nchi tajiri lakini BANK zake hazizidi 10 kwanini tanzania iwe hivyo?
Ni sawa na kusema ccm na upinzani waungane halafu useme umoja ni nguvuKwa nini wasiziunge iwe bank moja, umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
Lawama itabaki kwa serikali tuHata wakiunga nayo itakufa taratibu ..bora kilamtu afe na chake lawama hamna
Zikibaki chache, hakutakuwa na ushindani, utalalamika hapa!Nchi masikini kama tz ina bank zaid ya 20 du vichekesho sana bora zife zibakie tano tu
Au ni sawa na kusema Malaika na shetani waungane, ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa kutokea.Ni sawa na kusema ccm na upinzani waungane halafu useme umoja ni nguvu
Karibia watumishi wote wa serikali hutunza pesa zao benki na ni benki yenye privilege kwahiyo sikutegemea kuwepoMbona NMB haimo?