Ufafanuzi kuhusu thread yangu ya kununua wazo la biashara

Ufafanuzi kuhusu thread yangu ya kununua wazo la biashara

David Mgeni

Senior Member
Joined
Aug 4, 2020
Posts
104
Reaction score
138
Salaam wakuu naomba kutoa ufafanuzi kidogo kama watafutaji na wapambanaji wazo ndio kila kitu ukiwa na wazo ni rahisi kutengeneza pesa!

Napokea ujumbe mwingi pm watu ambao wako serious tunajadiliana naomba watu mjue kuhusu kiwango ambacho ninacho kinafit kwa wazo dogo na hata kubwa half of one billion sio pesa ndogo tupeane mawazo pili location niko Dar es salaam
 
Hii ungeweka kwenye huo uzi wako kama update, ingekaa poa zaidi.
 
Nani kakuambia wazo ni rahisi kutengeneza pesa? Wazo kama haijawa implemented bado sio kitu.

Na ugumu wa hauko kwenye wazo bali utekelezaji, wengi wanao feli biashara au biashara zinazo feli si kwa sababi wazo likikuwa baya hapana ni kwa sababu commitment no tatizo.
 
Nani kakuambia wazo ni rahisi kutengeneza pesa? Wazo kama haijawa implemented bado sio kitu.

Na ugumu wa hauko kwenue wazo bali utekelezaji, wengi wanao feli biashara au biashara zinazo feli si kwa sababi wazo likikuwa baya hapana ni kwa sababu commitment no tatizo.
Sure boss 100%
 
Back
Top Bottom