David Mgeni
Senior Member
- Aug 4, 2020
- 104
- 138
Anzisha biashara ya kuuza na kununua ideas
Sure boss 100%Nani kakuambia wazo ni rahisi kutengeneza pesa? Wazo kama haijawa implemented bado sio kitu.
Na ugumu wa hauko kwenue wazo bali utekelezaji, wengi wanao feli biashara au biashara zinazo feli si kwa sababi wazo likikuwa baya hapana ni kwa sababu commitment no tatizo.