Kwema wana JF,
Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa cheti cha kurudia kinakuaje!