Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Utajuje kam kuna hasara au faida ktk kampuni...wanakutaarifu au?Kwa kifupi, unaponunua hisa, unakua mmiliki wa hiyo kampuni. Inamaana wakipata faida, unagawiwa faida kutokana na idadi au wingi wa hisa zako. Hali kadhalika wakipata hasara, itakugusa kwa sababu bei ya hisa itashuka.
Kila kampuni ambayo inauza hisa ina jukumu la kutoa rpoti zake za accounting kila baada ya muda fulani, so watakua wanatoa balance sheet etc kwenye website yao. Voda wamesema wannatarajia kugawa nusu ya fada ya kama gawio kwa wana hisa, lakini ni muhimu kukumbuka kuwa kampuni haina wajibu waa kugawa gawio/dividend hata kama imepata faida, yote iategemea na maamuzi ya board of directors.Utajuje kam kuna hasara au faida ktk kampuni...wanakutaarifu au?
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Nomba kukuelemisha kwa kukupa mfano. Unaanzisha duka unataka mtaji wa shs 1m/= . Una laki 6. Hivyo unahitaji laki 4 ili iwe 1m. Unamfuata rafiki yako mnakubaliana kuliendesha lile duka pamoja na kuwana faida. Sasa mtagawanaje? Mnaamua kusema kuwa ile 1. Igwawanywe kwa mafungu ya laki moja moja. Maana yake ni kuwa wewe utakuwa na mafungu 6 na mwenzio atakuwa na mafungu 4. Sasa hayo mafungu ndio HISA. Yaani wewe una hisa 6 na yeye ana hisa 4. Yaani jumla hisa 10 za shs laki moja moja.Hamna kitu kinanichanganya kama ninavosikia neno kununua hisa..yani ni nini faida yake...mfano mimi nikinunua hizo hisa 100 kwa 85000 napata faida gani...na je kina uwezekano wa kupata hasara pia.na hasara au hizi faida inatoka au inapatikana vipi
Ahsante kaka kwa maelezo yako mazuri ,hakika yametufaa wengiNomba kukuelemisha kwa kukupa mfano. Unaanzisha duka unataka mtaji wa shs 1m/= . Una laki 6. Hivyo unahitaji laki 4 ili iwe 1m. Unamfuata rafiki yako mnakubaliana kuliendesha lile duka pamoja na kuwana faida. Sasa mtagawanaje? Mnaamua kusema kuwa ile 1. Igwawanywe kwa mafungu ya laki moja moja. Maana yake ni kuwa wewe utakuwa na mafungu 6 na mwenzio atakuwa na mafungu 4. Sasa hayo mafungu ndio HISA. Yaani wewe una hisa 6 na yeye ana hisa 4. Yaani jumla hisa 10 za shs laki moja moja.
Mmepata faida. Wakati wa kugawana faida labda ya laki 5. Mnaamua kuwa kila fungu moja la hisa lipate shs 20,000. Jumla hisa 10x20,000=200,000. Laki 300,000 mnaamua kuendeleza duka. Hapo mnakuwa mmeamua kama wakurugenzi.
Kama umeuelewa mfano huu basi. Hisa za voda zimegawanyika kuwa ndogo ndogo ila nyiiiingi ili iwe rahisi kununulika. Kwa maana hiyo ukinunua unakuwa mmiliki wa vodacom, lakini wenye maamuzi ni wale wenye idadi kubwa ya hisa kulingana na asilimia.
Kwenye uhasibu ni topic yenye volumes of books.
Kuweni makini kuwa sio wanahisa ni board of directors ndo wanaamua kama kwe na gawio na liwe kiasi gani.Nomba kukuelemisha kwa kukupa mfano. Unaanzisha duka unataka mtaji wa shs 1m/= . Una laki 6. Hivyo unahitaji laki 4 ili iwe 1m. Unamfuata rafiki yako mnakubaliana kuliendesha lile duka pamoja na kuwana faida. Sasa mtagawanaje? Mnaamua kusema kuwa ile 1. Igwawanywe kwa mafungu ya laki moja moja. Maana yake ni kuwa wewe utakuwa na mafungu 6 na mwenzio atakuwa na mafungu 4. Sasa hayo mafungu ndio HISA. Yaani wewe una hisa 6 na yeye ana hisa 4. Yaani jumla hisa 10 za shs laki moja moja.
Mmepata faida. Wakati wa kugawana faida labda ya laki 5. Mnaamua kuwa kila fungu moja la hisa lipate shs 20,000. Jumla hisa 10x20,000=200,000. Laki 300,000 mnaamua kuendeleza duka. Hapo mnakuwa mmeamua kama wakurugenzi.
Kama umeuelewa mfano huu basi. Hisa za voda zimegawanyika kuwa ndogo ndogo ila nyiiiingi ili iwe rahisi kununulika. Kwa maana hiyo ukinunua unakuwa mmiliki wa vodacom, lakini wenye maamuzi ni wale wenye idadi kubwa ya hisa kulingana na asilimia.
Kwenye uhasibu ni topic yenye volumes of books.
Unauza kwenye soko la hisa, yes lazima kuwe na mnunuzi ni mtu mwengine kama wewe au shirika linalotaka kununua hisa.Sasa naona kama neno KUUZA HISA halijatumika vizuri,
inakuaje unauza hisa ulizozinunua? Unamuuzia nani? What if usipopata mteja?
Je, unaiuzia kampuni?
Je, ni lazima kampuni kununua hisa kwa muda wowote ule pale mtu anapoamua kuziuza?
Je, hakuna sheria inayoruhusu kampuni ya voda kukataa kununua hisa?
Kang Congo
Ohoooo, Shukrani kwa maelezo mkuu,Unauza kwenye soko la hisa, yes lazima kuwe na mnunuzi ni mtu mwengine kama wewe au shirika linalotaka kununua hisa.
Kwa kawaida kampuni haitanunua hisa zake zenyewe unless wakiamua kufanya buyback, huu ni mpango maalumu kwa kampuni kununua hisa zake wenyewe na kuziondoa au kuzipunguza sokoni.
Sio rahisi kukosa mnunuzi ila unaweza kukosa mnunuzi kwa bei unayotaka wewe, kama soko linathamini hisa ya voda kwa sh 300 hakuna atakayeinunua kwa 850 so unaweza kuingia hasara.
mkuu....kati ya mwenye hisa nyingi mfano tuseme 52% na board of directors nani mwenye maamuzi ya mwisho?......dividend haitolewi kila mwaka?Kila kampuni ambayo inauza hisa ina jukumu la kutoa rpoti zake za accounting kila baada ya muda fulani, so watakua wanatoa balance sheet etc kwenye website yao. Voda wamesema wannatarajia kugawa nusu ya fada ya kama gawio kwa wana hisa, lakini ni muhimu kukumbuka kuwa kampuni haina wajibu waa kugawa gawio/dividend hata kama imepata faida, yote iategemea na maamuzi ya board of directors.
Watanzania tupende kusoma, yote haya yapo kwenye prospectus ya Vodacom.
πππ achana nazo yaani mpaka hapo hazikufai.Hamna kitu kinanichanganya kama ninavosikia neno kununua hisa..yani ni nini faida yake...mfano mimi nikinunua hizo hisa 100 kwa 85000 napata faida gani...na je kina uwezekano wa kupata hasara pia.na hasara au hizi faida inatoka au inapatikana vipi
nafikiri unapokuwa na hisa fulani kama zipo nyingi zinakupa veto katika kuchagua wome members of board of directors kwa hiyo utaweka watu ambao watasimamia interest zako..Kwa hiyo ikija kwenye kuoiga kura wale ambao wapo chini yako watabeba msimamo wako na kuuwakilisha kwenye maamuzimkuu....kati ya mwenye hisa nyingi mfano tuseme 52% na board of directors nani mwenye maamuzi ya mwisho?......dividend haitolewi kila mwaka?
Maamuzi bi ya board of directors, of coz mwanahisa mkubwa hivyo anaweza akawa na ushawishi mubwa zaidi wa wanaboard.mkuu....kati ya mwenye hisa nyingi mfano tuseme 52% na board of directors nani mwenye maamuzi ya mwisho?......dividend haitolewi kila mwaka?