Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Wote mnaosema wizara imeyumba Kwa iyo taarifa, niwaambie tu kwamba.
Wizara haiwezi kuwaandikia Sfaxien walipe viti. Kwaiy sas kwasababu Simba ndo walikabidhiwa uwanja so ni jukumu lao kuhakikisha uwanja unakuwa safi na salama.
Simba ndo wanatakiwa sas wapeleke malalamiko CAF kutokana na kilichotokea then CAF watajiridhisha na kwakupitia Report ya match commissioner then watatoa maamuzi...
Lakini mpaka yote hayo yafanyike Makolo mnatakiwa mkarabati uwanja Hamna kulia Lia manake mmezoea sana kulia Lia nyie.
Hata kwaakili za kawaida Inawezekanaje mashabiki 10 wa Sfaxien wang'oe viti 256 ndani ya dkk 5.