Ufafanuzi Kwanini Simba walipie gharama za viti uwanja wataifa

Ufafanuzi Kwanini Simba walipie gharama za viti uwanja wataifa

Pesa za ulinzi wanazolipwa polisi kwa ajili ya usalama zinaenda wapi si serikalini.
Askari wamekamata hata shabiki mmoja kwa kufanya fujo.
Serikali ingeanza kushugulika na polisi kwa kuzuia mgao wao kwa sababu hawakutekeleza wajibu wao ipasavyo..
 
Wote mnaosema wizara imeyumba Kwa iyo taarifa, niwaambie tu kwamba.

Wizara haiwezi kuwaandikia Sfaxien walipe viti. Kwaiy sas kwasababu Simba ndo walikabidhiwa uwanja so ni jukumu lao kuhakikisha uwanja unakuwa safi na salama.

Simba ndo wanatakiwa sas wapeleke malalamiko CAF kutokana na kilichotokea then CAF watajiridhisha na kwakupitia Report ya match commissioner then watatoa maamuzi...

Lakini mpaka yote hayo yafanyike Makolo mnatakiwa mkarabati uwanja Hamna kulia Lia manake mmezoea sana kulia Lia nyie.

Hata kwaakili za kawaida Inawezekanaje mashabiki 10 wa Sfaxien wang'oe viti 256 ndani ya dkk 5.
Kuna mashabiki mamluki wengi walikuwa nao upande huo.
Subirini camera zitawaumbua tu
 
Simba wawe na Furaha ya ushindi kisha wafanye fujo na kuvunja viti ?!
Uwezekano mkubwa ni upande wa waliofungwa hasira kumalizia kwenye kuvunja viti.
Waangalie kwenye cameras
 
Nikajua umetoa maoni hayo, kwa mujibu wa Utanzania, na uanamichezo wako! Kumbe "UMESUKUMWA" na UTOPOLO wako!
Ndio mkuu .. uzalendo kwanza kwa nchi...fikiria pesa zilizotumika kujenga uwanja ...then poor makolo waje kuharibu
 
Simba wawe na Furaha ya ushindi kisha wafanye fujo na kuvunja viti ?!
Uwezekano mkubwa ni upande wa waliofungwa hasira kumalizia kwenye kuvunja viti.
Waangalie kwenye cameras
Kwamba Waarabu walivaa jezi za makolo
 
Turudi kwenye matokeo ya uwanjani ya Dar na Lubumbashi
sasa mzee baba matokeo ya CAFCL utalinganisha na ya LOOSER CUP. au niambie ni lini ulienda DRC ukaambulia hata sare dhidi ya TP MAZEMBE?
 
sasa mzee baba matokeo ya CAFCL utalinganisha na ya LOOSER CUP. au niambie ni lini ulienda DRC ukaambulia hata sare dhidi ya TP MAZEMBE?
Wala haujaambiwa ulinganishe. Nimekwambia tu turudi kwenye matokeo ya mechi, sasa utaamua mwenyewe ni yapi umechagua kutujulisha 😀😀 😀
 
Inawezekana Pia Madhabiki wa Yanga wameshiriki Kung’oa viti.
Sababu Walioenda/Ingia Uwanjani ni Mashabiko wa Simba Tuu?
Unawajuaje kuwa Waliong’os ni Mashabiki wa Simba? Walikuwa na alama?
What if kama kuna Pia wa Yanga Kadhaa!
Uwanjani wameingia watu wa Dini mbali mbali,Kabila mbali mbali,Mashabiki mbali mbali!
Sababu Simba ndio alikuwa Mwenyeji wa Mchezo anaweza Kulipa!
Ila Pia Jukumu la Kulinda vurugu za Uwanja ni za Polisi Au Mamlaka za Uwanja!
Anyway
Simba wanaweza Kulipa kiungwana tuu!
Hao niliowa'bold pamoja na wewe wote hamna akili... kama mnazo basi mnatumia za Bambo🤒🤒
 
Back
Top Bottom